SAMIA CUP 2025 KUANZA KUTIMUA VUMBI FEBRUARY 7 KIGAMBONI, TIMU 32 KUSHIRIKI
Mashindano ya mpira wa miguu ya Samia Cup 2025 yanayolenga kuibua vipaji na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita, yanatarajiwa kuanza...
RAIS NEVES AWASILI NCHINI,APOKELEWA NA WAZIRI CHANA
Rais wa Jamhuri ya Cabo Verde, Mhe. José Maria Pereira Neves amewasili nchini Tanzania leo kwa ziara ya kikazi ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi...
BARAZA LA MADIWANI SAME LAIDHINISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 63.42 KWA MWAKA 2025/2026
Ashrack Miraji
Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Same limepitisha kiasi cha shilingi bilioni 63.420 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa ajili ya...
Protected: TANZANIA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA 19 JUKWAA LA KOROSHO AFRIKA 2025
Na Magrethy Katengu- Dar es salaam
TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 19 wa Mwaka wa Jukwaa la Korosho Afrika 2025 wenye lengo la...
TANZANIA YAVUNJA REKODI KUFIKISHA WATALII MILIONI 5.3
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imevunja rekodi kwa kufikisha watalii milioni 5.3 (5,360,247) ambapo idadi ya...