WALIMU SEMENI SHIDA ZENU, MSIJIONE DUNI – DKT. BITEKO
π Serikali yatumia mabilioni kulipa madeni ya walimu
π Asema walimu ni nguzo ya Taifa
π Kliniki ya Walimu neema kwa walimu nchini
π CWT yapongezwa kwa...
DKT. BITEKO AHIMIZA MSHIKAMANO, UPENDO NA UMOJA MSALALA
π Awaasa Wanamsalala kuchagua maendeleo badala ya maneno
π Rais Samia atakeleza Ilani ya CCM kwa 99% Msalala
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri...
SERIKALI IMEIMARISHA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI NA SHUGHULI ZA KIUCHUMI-KAPINGA
π Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani atoa wito wa kushikamana
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa Serikali imeboresha mazingira ya wanawake nchini ili...
BONDIA AMIRI MATUMLA KUZICHAPA DHIDI YA BONDIA WA NAMIBIA PAUL AMAVILA FEBRUARI 28 MWAKA...
Na Magrethy Katengu--Mzawa Media
Dar es salaam
BONDIA Amiri Matumla,anatarajia February 28 mwaka huu kuapanda ulingoni katika Ukumbi wa Magomeni Sokoni dhidi ya mpinzani wake kutoka...







