WITO KWA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU NA SEKTA ZA UCHUMI
Mbunge wa Viti Maalum, JaneJelly James Ntate, ametoa wito kwa serikali kuhusu maendeleo ya miundombinu na sekta za uchumi katika Bunge la 12, Mkutano...
DC SAME AKUTANA NA WADAU WA BIASHARA YA MBAO KUJADILI MAENDELEO NA CHANGAMOTO.
Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amekutana na wadau wa biashara ya mbao kujadili maendeleo na changamoto zinazowakumba ili ziweze kutatuliwa kwa...
ACT WAZALENDO YAUNDA KAMATI YA ILANI YA UCHAGUZI 2025, EMMANUEL MVULA KUONGOZA
Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameunda Kamati ya Kuunda Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2025, ambapo amefanya uteuzi wa wajumbe 12...
TAKUKURU MARA YABAINI DOSARI KWENYE MIRADI 10 YENYE THAMANI YA BILIONI 7
Na Shomari Binda-Musoma
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara imebaini dosari kwenye miradi 10 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi...
TUTAENDELEA KUJIIMARISHA KIUCHUMI-MAJALIWA
Ampongeza Rais Dkt. Samia kwa kuendeleza mahusiiano ya Kimataifa WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zilizopo...
“TUTAENDELEA KUSIMAMIA USTAWI WA BIASHARA NCHINI” CG MWENDA
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema TRA itaendelea kusimamia ustawi wa biashara nchini kwa kuhakikisha kuwa hakuna...
CHUO CHA NCT CHAWAANDAA WANAFUNZI KWA SOKO LA AJIRA
Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) kimeendesha mafunzo jumuishi kwa vitendo kwa wanafunzi wa Astashahada na Stashada, ambapo wanafunzi wameonesha kwa vitendo kile walichojifunza...
HABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI FEBRUARI 06,2025
Kwa anayehitaji mfumo unaotumika kuendesha zahanati, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0756 088 517.