Saturday, May 2, 2026
Home 2025 February

Monthly Archives: February 2025

MATUKIO; HAFLA YA UZINDUZI USAMBAZAJI MITUNGI YA GESI

0
Matukio mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa usambazaji mitungi ya gesi ya kupikia na majiko banifu kwa bei ya ruzuku inayofanyika leo Februari...

WANANCHI MUSOMA WAMTUMA NAIBU WAZIRI KIGAHE KWA RAIS DKT.SAMIA UFUNGUZI WA VIWANDA

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI katika manispaa ya Musoma wamemtuma Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exauds Kigahe kufikisha salamu zao kwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan...

WANAWAKE TUNAPOPATA FURSA TUSIMAME NA TUTENDE HAKI – MKURUGENZI UNUNUZI NISHATI

0
Mkurugenzi wa Ununuzi Wizara ya Nishati, Bi. Marieta Kiago ametoa rai kwa Wanawake hususan vijana kuwa wanapopata nafasi za kufanyakazi kwenye maeneo na Taasisi...

WALIMU SEMENI SHIDA ZENU, MSIJIONE DUNI – DKT. BITEKO

0
📌 Serikali yatumia mabilioni kulipa madeni ya walimu 📌 Asema walimu ni nguzo ya Taifa 📌 Kliniki ya Walimu neema kwa walimu nchini 📌 CWT yapongezwa kwa...

DKT. BITEKO AHIMIZA MSHIKAMANO, UPENDO NA UMOJA MSALALA

0
📌 Awaasa Wanamsalala kuchagua maendeleo badala ya maneno 📌 Rais Samia atakeleza Ilani ya CCM kwa 99% Msalala Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri...

SERIKALI IMEIMARISHA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI NA SHUGHULI ZA KIUCHUMI-KAPINGA

0
📌 Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani atoa wito wa kushikamana Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa Serikali imeboresha mazingira ya wanawake nchini ili...

BONDIA AMIRI MATUMLA KUZICHAPA DHIDI YA BONDIA WA NAMIBIA PAUL AMAVILA FEBRUARI 28 MWAKA...

0
Na Magrethy Katengu--Mzawa Media Dar es salaam BONDIA Amiri Matumla,anatarajia February 28 mwaka huu kuapanda ulingoni katika Ukumbi wa Magomeni Sokoni dhidi ya mpinzani wake kutoka...

RAIS MWINYI AFUNGUA TRACE AWARDS 2025

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuwaunga Mkono Wasanii kwani ni Muhimu katika Kukuza...

RAIS SAMIA AIVUSHA WIZARA YA MAJI KUTOKA KUWA YA LAWAMA NA KUWA WIZARA YA...

0
Rais Samia Handeni Tanga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Februari 25, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa...

MKUU WA WILAYA YA SAME AKERWA NA USIMAMIZI MBOVU WA MRADI WA MAJI

0
Na Ashrack Miraji Mzawa Media Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, ameonesha kukerwa na usimamizi wa mradi wa maji unaotekelezwa na Wakala...