UJENZI KITUO CHA KUPOZA UMEME HANDENI KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME- RAIS SAMIA
📌 Kituo kugharimu shilingi bilioni 50
📌 Zaidi ya Shillingi billioni 98 kutekeleza mradi wa gridi imara Kilindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe....
SERIKALI, SEKTA BINAFSI KUIMARISHA HUDUMA ZA FEDHA NCHINI
📌 Dkt. Biteko afungua tawi la Exim Benki Kahama
📌 Exim yachangia vifaa vya matibabu vya shilingi milioni 25 Hospitali ya Wilaya Kahama
Na Ofisi ya...
MILIONI 870 KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA VIJIJI VYA SEKA NA KABONI JIMBO LA MUSOMA...
Na Shomari Binda-Musoma
JUMLA ya shilingi milioni 870 zimetolewa na serikali kwaajili ya usambazaji maji ya bomba kwenye vijiji vya Seka na Kaboni vilivyopo Kata...
WAPATIWA FEDHA KUNUSURU RASILIMALI BAHARI.
Na Boniface Gideon, TANGA
Wakazi wa kata ya Kwale wilayani Mkinga ,wamepatiwa fedha Sh.10.5 Mil.kwaajili ya kukopeshana bila riba kupitia vikundi kwalengo la kupunguza shughuli...
4R’s ZA RAIS SAMIA ZAITIKISA GENEVA
Akizungumza wakati akiiwakilisha Nchi ya Tanzania katika Kikao cha 58 Cha Haki za Binadamu kinachofanyika Geneva Nchini Uswisi Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dr....
TANGA YAENDELEA KUPAA: RAIS SAMIA AZINDUA SHULE YA WASICHANA NA MIRADI MINGINE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne, Februari 25, 2025, anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Tanga...
EAST AFRICA GATEWAY TERMINAL LIMITED NA DP WORLD ZATAJWA MAFAINIKIO YA TPA MIAKA 4...
Na Deborah Lemmubi - Dodoma.
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) Bwana Plasduce Mbossa amesema kuwa Shehena ya Makasha iliyohudumiwa katika Bandari...
KOROGWE WAIPONGEZA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME
📌 Ni katika ziara ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tanga
📌 Vijiji vyote 118 vyafikishiwa umeme
📌 Naibu Waziri Kapinga ashiriki ziara.
Wananchi wa Wilaya...
RAIS SAMIA: DHAMIRA YA SERIKALI NI KUINUA SEKTA YA KILIMO KWA KUONGEZA TIJA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa serikali imejipanga kuhakikisha wakulima wanalima kwa tija mwaka mzima kwa kuwekeza...
MNEC EVARIST GERVES AKEMEA VIJANA WANAOWATUKANA VIONGOZI KUPITIA MAGROUP YA WHATSAPP
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (MNEC) kutoka Mkoa wa Geita, Evarist Gerves, amekemea vikali tabia ya baadhi ya vijana wa chama...













