Saturday, May 2, 2026
Home 2025 February

Monthly Archives: February 2025

KILI MARATHON ITUMIKE KUTANGAZA UTALII – DKT. BITEKO

0
πŸ“Œ Watu zaidi ya 20,000 washiriki Kili Marathon πŸ“Œ Awaasa kuzingatia ulaji na kufanya mazoezi πŸ“Œ Serikali kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo Na Ofisi ya Naibu...

RAIS DKT SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA HANDENI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Handeni...

RAIS DKT SAMIA AKIWASALIMU WASHIRIKI WA MASHINDANO YA KUHIFADHI QURAN

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika...

WANANCHI KISIWA CHA RUKUBA MUSOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI KWA KUFIKIWA NA MIRADI YA MAENDELEO

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI wa Kisiwa cha Rukuba kilichopo Musoma Vijijini wameishukuru serikali kwa kufikiwa na miradi mbalimbali ukiwemo wa umemejua. Wakizungumza kisiwani hapo kwa nyakati...

WAKANDARASI WASIMAMIWE KUTEKELEZA MIRADI YA NISHATI KWA WAKATI – KAPINGA

0
πŸ“ŒAagiza wasimamiwe kwa karibu kumaliza miradi πŸ“ŒAwataka Watendaji TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchi Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta...

MUHONGO ACHANGIA VITI 200 KWANYE UMOJA WA JAMII YA WATU WA MUSOMA KWAAJILI YA...

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amechangia viti 200 vyenye thamani ya shilingi milioni 4 kwa umoja wa jamii...

MAGANYA AWAPA UJUMBE WA UPENDO NA KUSHIRIKIANA JAMII YA WANA MUSOMA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU...

0
Na Shomari Binda-Musoma MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Fadhili Maganya amewataka wana umoja...

WATAALAMU SEKTA YA UTALII WATAKIWA KULETA MABORESHO KATIKA SEKTA HIYO

0
Na Happiness Shayo -Tanga Watendaji na Maafisa Utalii nchini wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, kujituma na ubunifu kuhakikisha Sekta ya Utalii inaboreshwa kwa manufaa ya...

NCAA YAALIKA WANAWAKE KUTALII NGORONGORO KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

0
Kassim Nyaki, Arusha. Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi, 2025 Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa kushirikiana na kampuni...

WIZARA YA NISHATI YAJADILI UTEKELEZAJI WA MPANGO MAHSUSI WA TAIFA WA NISHATI

0
πŸ“Œ Ni uliosaoniwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Misheni 300 πŸ“Œ Unalenga kufikisha umeme kwa wananchi milioni 8.3 ifikapo 2030 πŸ“Œ Unaelekeza...