MGORE MIRAJI ATOA MCHANGO WA NG’OMBE WANA JAMII YA MUSOMA KUKUTANA LEO JIONI
Na Shomari Binda – Musoma
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Taifa, Mgore Miraji, ametoa mchango wa ng'ombe kwa ajili ya kitoweo...
MAFUNZO YA WATENDAJI CCM RORYA YADAIWA KUVURUGWA NA MWENYEKITI WA CHAMA NA MBUNGE
Na Shomari Binda
MAFUNZO ya watendaji wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Wilaya ya Rorya yamedaiwa kuingiliwa na kuvurugwa na viongozi wa chama hicho.
Viongozi wanaodaiwa...
DKT. BITEKO ATETA NA JUMUIYA YA WASAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI NCHINI
📌Awashukuru kwa mchango wao utekelezaji Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia
📌 Ataka LPG ipatikane kwa wingi hadi ngazi ya Vijiji
📌 Ahimiza Tanzania kuwa kitovu...
RAIS DKT SAMIA AZINDUA TUME YA KUTATHIMINI MGOGORO WA ARIDHI ENEO LA...
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro...
🔴🔴 OPARESHENI YA KUWADHIBITI FISI SIMIYU YAONESHA MAFANIKIO MAKUBWA
📍 Zaidi ya Fisi 16 wavunwa.
Na Mwandishi wetu, Simiyu.
Oparesheni maalumu ya kuwadhibiti wanyamapori wakali na waharibifu aina ya fisi waliokuwa wanaleta taharuki na madhara...
MIMEA VAMIZI NI TISHIO KWA IKOLOJIA YA HIFADHI ZETU, BALOZI POLEPOLE
Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe. Humprey Polepole amesema uwepo wa mimea vamizi katika maeneo yaliyohifadhiwa inaathiri na kubadilisha ikolojia ya maeneo hayo hali...
MHE. BITEKO AMPONGEZA MWANAFUNZI ALIYEELEZEA MIRADI YA UMEME
Amuahidi kutembelea mradi wa Julius Nyerere
Na Josephine Maxime- Dar es Salaam
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko ameagiza Mwanafunzi Mirabelle...
MAGANYA MGENI RASMI HAFLA YA JAMII YA WANA MUSOMA IJUMAA FEBRUARI 21
Na Shomari Binda-Musoma
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Maganya anatarajiwa kuwa mgeni rasmi...
NCCR MAGEUZI HATUSHIRIKIANI NA CHAMA CHOCHOTE KATIKA UCHAGUZI 2025 Octoba
Na Magrethy Katengu---Mzawa MediaDar es salaam
CHAMA cha NCCR Mageuzi kimetangaza kutoshirikiana na chama chochote kile cha siasa kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025...
MAHIZA AZIONYA NGOs ZINAZOKIUKA MAADILI
Na Mwaandishi wetu Kilimanjaro
Muktasari:Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini, Mwantumu Mahiza, amesema kumekuwapo na ongezeko la mashirika yanayokiuka maadili...













