Home Kitaifa RAIS DKT SAMIA AZINDUA TUME YA KUTATHIMINI MGOGORO WA ARIDHI...

RAIS DKT SAMIA AZINDUA TUME YA KUTATHIMINI MGOGORO WA ARIDHI ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na Tume ya Rais ya Kutathmini zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Februari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na Tume ya Rais ya Kutathmini zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Februari, 2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!