USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPAN WAIMARISHWA KUPITIA TRA
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa, leo tarehe 03 Januari 2025, amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato...
TRA KUSHIRIKIANA NA BAKWATA KUTOA ELIMU YA KODI
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kushirikiana na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutoa Elimu ya Kodi ili kuhamasisha Wananchi kulipa kodi kwa...
MHE. PROF. MKUMBO AZINDUA NA KUWEKA MAWE YA MSINGI KWENYE MIRADI YA MAENDELEO MBULU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Kitila Mkumbo amekagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mbulu Mkoani...