TUME YA RAIS MABORESHO YA KODI YATUA MARA KWA KUPOKEA MAONI YA WADAU
Na Shomari Binda-Musoma
TUME ya Rais ya maboresho ya kodi imetua mkoani Mara na kupokea maoni ya wadau wakiwemo wafanyabiashara kwa kufanya nao kikao.
Kikao hicho...
AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAWAZAWADIA WASHINDI WA KAMPENI YA TWENDE KIDIGITAL TUKUVUSHE JANUARI
Na Mwandishi wetu-Dar es salaam
Akiba Commercial Bank imewashukuru wateja wake kwa kushiriki katika kampeni "twende kidigital tukuvushe Januari" na imewahimiza kuendelea kutumia huduma zake...
UWEZO WA MITAMBO YA KUFUA UMEME WAFIKIA MEGAWATI 3,091.71- MHE.KAPINGA
📌 Wateja wapya 109,918 waunganishiwa na huduma ya umeme nchini
📌 Kamati ya Bunge yaipongeza TANESCO kwa kuimarisha Miundombinu ya umeme
Serikali kupitia Shirika la Umeme...
RAIS DKT SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo...
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA MHE. RAIS DKT SAMIA KATIKA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS WA...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Msumbiji Daniel Chapo kwenye makazi ya Rais, Ponta Vermelha, Maputo nchini Msumbiji. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais...