TMA YATOA TAARIFA UWEPO WA KIMBUNGA “DIKELEDI” KATIKA BAHARI YA HINDI MWAMBAO WA PWANI...
Na Mwandishi Wetu-media Dar es Salaam
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “DIKELEDI” katika Bahari ya Hindi mwambao...
CBT YAWANOA MAAFISA UGANI WAKAFUFUE ZAO LA KOROSHO PWANI
Mkuu wa wilaya ya Mkuranga Khadija Nasri Ally amewataka maofisa ugani walioajiriwa na bodi ya korosho Tanzania CBT kutoa elimu kwa Wakulima wa zao...
DIWANI ASHA MUHAMED AONGOZA WANAWAKE WA KIISLAM MUSOMA ISTIQAMA KUSAIDIA WATOTO
Na Shomari Binda-Musoma
DIWANI wa viti maalum manispaa ya Musoma na mjumbe wa kikundi cha wanawake wa kiislam Istiqama Asha Muhamed ameongoza utoaji msaada kituo...
MALIASILI, MAMBO YA NDANI ZATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKUZA UTALII
Na Happiness Shayo-Dodoma
Wizara ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kukuza soko la utalii...
HOSPITAL YA MWALIMU NYERERE YATAJWA ENEO LA USALAMA WA TAIFA KWA KULINDA AFYA ZA...
Na Shomari Binda-Musoma
HOSPITAL ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyopo Musoma imetajwa kama eneo la Usalama wa Taifa kwa kulinda afya za wananchi.
Kauli...
LORI LAUA 11 WALIOKWENDA KUSHUHUDIA AJALI SEGERA.
Na Ashrack Miraji Mzawa Online media
WATU 11 wamefariki dunia wa Kijiji cha Chang’ombe kilichopo Kata ya Segera wilayani Handeni Mkoani Tanga baada ya kugongwa...
MEGAWATI 30 ZA JOTOARDHI KUINGIA KWENYE GRIDI IFIKAPO 2026/2027 -DKT KAZUNGU
📌 Anadi fursa za uwekezaji miradi ya Jotoardhi Baraza la 15 IRENA
📌 Asema Tanzania ina maeneo 50 yenye vyanzo vya Jotoardhi
📌 Ngozi, Kiejombaka, Songwe...