MALI ZA MAGENDO ZITAKAZOKAMATWA NCHINI KUTAIFISHWA
Wakati Tanzania ikiungana na nchi nyingine Duniani kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Forodha, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma...
DKT. HAJI MNASI: ELIMU, MAADILI NA TEKNOLOJIA NI NGUZO ZA TAIFA BORA
Mwandishi wa kitabu Elimu na Malezi kwa Watoto katika Zama za Kidigitali, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro,...
MUSOMA VIJIJINI WAUNGANA KUPONGEZA AZIMIO LA RAIS SAMIA KUGOMBEA 2025
Na Shomari Binda_Musoma
WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Musoma vijijini wamesafiri hadi Musoma mjini kupongeza azimio la Mkutano Mkuu wa chama hicho...
NGORONGORO WASISITIZWA KUACHA KUTUNZA FEDHA NYUMBANI
Na. Saidina Msangi, WF, Ngorongoro, Arusha.
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro wametakiwa kutumia huduma rasmi za fedha kutunza fedha zao badala ya kutunza...
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA SERIKALI UJENZI WA VITUO VIPYA VYA KUJAZIA GESI KWENYE MAGARI...
📌 Kituo mama cha CNG katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhudumia magari 1,200 kwa siku
📌 Serikali yaendelea kuhamasisha Sekta binafsi ujenzi wa...