UUNGANISHAJI UMEME VIJIJINI WAFIKIA ASILIMIA 99.9
📌Vitongoji 33,657 vimefikiwa
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati...
UUNGANISHAJI UMEME VIJIJINI WAFIKIA ASILIMIA 99.9
📌Vitongoji 33,657 vimefikiwa
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati...
RAIS SAMIA AONGOZA MKUTANO WA ASASI YA ULINZI NA USALAMA (SADC-Organ) ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
SEKONDARI MPYA INAYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANAKIJIJI KUFUNGULIWA MWEZI HUU MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kijiji cha Muhoji jimbo la Musoma Vijijini kimeamua kujenga sekondari yake ili kutatua tatizo la umbali mrefu wanaotembea watoto wa...
MUHONGO ASISITIZA KILA KIJIJI KUWA NA SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI JIMBO LA MUSOMA...
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema lengo ni kuhakikisha kila Kijiji na Kitongoji kinakuwa na shule ya msingi...
SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUTEMBELEA VIVUTIO MSIMU WA LIKIZO, SIKUKUU
SERIKALI imewahimiza wananchi kutumia msimu wa sikukuu na likizo kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kujifunza, kuburudika na kuchangia ukuaji wa uchumi wa...