TANZANIA NA COMORO KUSHIRIKIANA SEKTA YA NISHATI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko amekutana na Waziri wa Nishati wa Umoja wa Visiwa vya Comoros, Dkt...
SOKO LA HISA DAR ES SALAAM ( DSE ) NA MIXX BY YAS (...
> Mixx by Yas inashirikiana na Soko la Hisa la Dar es Salaam ( DSE ) kuleta mapinduzi ya Biashara ya Hisa nchini Tanzania.
> Mteja...
MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOFANYA KAZI MARA YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA
Na Shomari Binda-Musoma
MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali ( NGO's) yanayofanya kazi mkoani Mara yametakiwa kuzingatia Sheria,kanuni,taratibu na miongozo ya nchi.
Hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa...
RC MTAMBI ASHIRIKI NA WAISLAM KUMUOMBEA DUA RAIS DKT.SAMIA NA TAIFA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameshiriki dua ya kumuombea Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan na Taifa kuendelea kutekeleza majukumu yake.
Dua...
TANZANIA, BURUNDI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA NISHATI KWA MAENDELEO ENDELEVU
📌Burundi yaipongeza Tanzania kwa mafanikio ya nishati
📌Wampongeza Rais Samia kudumisha amani nchini
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana...
MAHAKAMA KUU KANDA YA GEITA YATOA ELIMU YA SHERIA KWA WATENDAJI WA KATA NA...
Mahakama Kuu Kanda ya Geita leo imetoa elimu ya masuala ya sheria kwa watumishi wa umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, ikiwa ni...
MAKUNDI MAALUM YAJENGEWA UWEZO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Iramba imetoa semina ya siku moja kuhusu elimu ya kuzuia na kupambana na rushwa...
REA YAENDELEA NA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA MKOANI KILIMANJARO
📌Mitungi ya gesi 19,530 kusambazwa mkoani Kilimanjaro
📌Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya...
MUGINI AZINDUA SEMINA ZA UWEKEZAJI MKUBWA WA KIBIASHARA MKOANI MARA
Na Shomari Binda-Musoma
MWENYEKITI wa Mara Press Club Jacob Mugini amezindua semina za uwekezaji mkubwa wa kibiashara mkoani Mara huku watanzania wakitakiwa kujiunga na masoko...
UJENZI WA UKUMBI WA MIKUTANO CCM MARA WAFIKIA ASILIMIA 65
Na Shomari Binda - Musoma
Uwekezaji wa ujenzi wa ukumbi mkubwa wa mikutano unaojengwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara umefikia asilimia 65.
Hayo...













