MUHEZA,TANGA JIJI,MKINGA WAPATIWA BOTI ZA ULINZI.
Na Boniface Gideon,TANGA
Halmashauri za Wilaya ya Tanga, Muheza na Mkinga zimepatiwa Boti za Ulinzi na Usalama Baharini kwaajili ya kuongeza nguvu za doria dhidi...
ELIMU YA AMALI: NJIA YA KUKUZA UJUZI KWA AJIRA ENDELEVU
Na Magrethy Katengu
Walimu kuanzia shule za msingi hadi vyuo wameshauriwa kujiendeleza kwa kusomea elimu ya amali (vitendo) ili waweze kuwasaidia watoto kuwa na ujuzi...
CCM NYANG’HWALE YAPONGEZA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA MILIONI 900
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyang’hwale imepongeza utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia ilani ya CCM yenye thamani ya zaidi...
KIBAHA KUWA MANISPAA: KOKA ATAJA CHANGAMOTO YA MAJI KATA YA PANGANI
WAZIRI wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanja Samia Suluhu Hassan ameridhia kupandiaha hadhi Halmashauri ya Mji wa Kibaha...
KAZI ZA MADIWANI VITI MAALUM MANISPAA YA MUSOMA ZAPOKELEWA NA WAJ̌UMBE BARAZA UWT
Na Shomari Binda-Musoma
KAZI zinazofanywa na madiwani wa viti maalum manispaa ya Musoma zimepokelewa na kupongezwa na wajumbe wa Baraza la UWT Wilaya ya Musoma...
NGORONGORO WATANGAZA KAMPENI YA DIKO LA AMBONI KUTANGAZA KUENZI UTAMADUNI.
Na Boniface Gideon, TANGA
Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro imesema itatumia siku ya wapendanao (Valentine Day) kwa ajili ya kuyatangaza mapango ya Amboni kupitia Programu...
UWT MKOA WA MARA YATOA TAMKO LA KUUNGA MKONO AZIMIO LA CCM KUMPITISHA DKT.SAMIA...
Na Shomari Binda-Musoma
JUMUIYA ya Wanawake wa CCM ( UWT) mkoa wa Mara imetoa tamko la kupongeza wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kumpitisha...
DKT. BITEKO AFUNGUA MKUTANO WA NISHATI WA VIONGOZI – AFRIKA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua mkutano wa Kimataifa wa Nishati unaowakutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika, Mashirika ya...
MALI ZA MAGENDO ZITAKAZOKAMATWA NCHINI KUTAIFISHWA
Wakati Tanzania ikiungana na nchi nyingine Duniani kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Forodha, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma...
DKT. HAJI MNASI: ELIMU, MAADILI NA TEKNOLOJIA NI NGUZO ZA TAIFA BORA
Mwandishi wa kitabu Elimu na Malezi kwa Watoto katika Zama za Kidigitali, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro,...













