ELIMU YA FEDHA: SULUHISHO KWA CHANGAMOTO ZA MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI
Mratibu wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha, Halmashauri ya Jiji la Arusha, Bi. Fatuma Amiri, akizungumza na wananchi wa Kata ya Murieti katika Shule...
DKT. BITEKO ATAKA MITAALA VYUONI IENDANE NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA
📌Azindua dira ya miaka 50 ya CBE (2025 - 2075)
📌Asisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa, zinazojibu changamoto za jamii
📌Taasisi za elimu ya juu zatakiwa...
DIWANI MARIAM ARIDHISHWA UKARABATI MAJENGO YA MADARASA SHULE MSINGI MWEMBENI
Na Shomari Binda-Musoma
DIWANI wa Kata ya Mwigobero manispaa ya Musoma Mariam Sospeter ameridhishwa na ukarabati wa majengo unaofanywa kwenye shule ya msingi Mwembeni iliyo...
MIUNDOMBINU YA KUSAMBAZA UMEME NI YA MUDA MREFU – DKT. BITEKO
📌Asema ilijengwa wakati mahitaji yakiwa kidogo
📌Vijiji vyote vimefikiwa na umeme
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema miundombinu iliyopo ya...
NIMETUMWA NA CHADEMA BUTIAMA KUMCHAGUA LISSU ” MAKENJI”
Na Shomari Binda
Mwenyekiti wa Chama cha Demikrasia na Maendeleo " Chadema" Wilaya ya Butiama Michael Makenji ameonyesha msimamo wa kumchagua Tundu Lissu kwenye uchaguzi...
MHANDISI NDOLEZI PETRO AMETANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE WA KIGOMA KUSINI
Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu-Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira wa ACT Wazalendo, Mhandisi Ndolezi Petro, ametangaza nia rasmi ya kugombea Ubunge wa...
JESHI LA POLISI DAR ES SALAAM LAWAKAMATA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA MZEE REGINA CHAULA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili, Fredy Rajab Chaula na Bashiru Richard Chaula, kwa tuhuma za kula...
MAKAMU WA RAIS ATOA WITO WA KUKABILIANA NA UKATILI WA KIJINSIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, amewahimiza Watanzania wote kufichua vitendo vya ukatili ili hatua stahiki zichukuliwe...













