Saturday, May 2, 2026
Home 2023 August

Monthly Archives: August 2023

MAONESHO YA MADINI YAUFUNGUA MKOA WA LINDI

0
#Mkoa watajwa wa Tatu kwa wingi wa Madini nchini. Ruangwa - Lindi Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji yanayoendelea Mkoani Lindi yametajwa kuufungua...

NYIHITA, RAMA MSOMI WACHANGIA SHULE YA MSINGI KINESI “B” NA KUTOA NENO KWA WANAFUNZI

0
Na Shomari Binda-Rorya MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Mara, Nyihita Paul na mfanyabiashara, Rama Msomi wamechangia fedha na...

CCM YAENDELEA KUTEKELEZA AHADI YAKE VINGUNGUTI WANANCHI WASEMA RAIS DKT SAMIA SULUHU MITANO TENA

0
Na Magrethy Katengu Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Ilala ambaye pia ni Diwani wa Vingunguti Mhe Omary Kumbilamoto amesema Chama cha Mapinduzi CCM kitahakikisha kutekelezea...

TMA YATOA MWELEKEO MVUA ZA VULI OKTOBA HADI DISEMBA, 2023

0
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali...

KINANA AKUTANA NA KIONGOZI WA NATIONAL DEMOCRATIC INSTITUTE YA MAREKANI

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahman Kinana, leo Agosti 24, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa taasisi ya Marekani...

TARURA KUONDOA VIKWANZO MTANDAO WA BARABARA ZA WILAYA

0
Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema maeneo ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara...

SHIRIKA LAKABIDHI BOTI KWA AJILI YA ULINZI RASILIMALI BAHARI.

0
Na Boniface Gideon, Mkinga Wakazi wa Vijiji 5 kati ya 9 vilivyopo kata ya Boma wilayani Mkinga mkoani Tanga vimenufaika na Mradi wa utunzaji wa...

SERIKALI YAONYA WANAOTUMIA MAKAO YA WATOTO KUJINUFAISHA

0
Na Raymond Mushumbusi WMJJWM Dodoma Serikali imewaonya wamiliki wa Makao ya kulea watoto nchini waliogeuza Makao hayo kujinufaisha kwa misaada mbalimbali inayotolewa hasa ya fedha. Onyo...

IEP YATOA MATOKEO WATAHINIWA WALIOFANYA MTIHANI WA DINI YA KIISLAM DARASA LA 7

0
Na Magrethy Katengu Islamic Education Panel (IEP), imetoa matokeo ya watahiniwa waliofanya mtihani wa masomo ya dini ya Kiislamu na lugha ya Kiarabu kwa wanafunzi...