WATUMISHI WIZARA YA FEDHA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma
Watumishi wa Wizara ya Fedha wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano na kuzingatia sheria, kanuni, taratibu pamoja na miongozo katika utekelezaji...
DKT. TAX AWAPA WAKUU WA MIKOA MBINU ZA KUTEKELEZA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia...
TARURA YAPONGEZWA UKAMILISHAJI MIRADI KWA WAKATI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) imeupongeza uongozi wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AAGIZA KUZALISHA CHUMVI YENYE UBORA
Ahitimisha Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoani Lindi
#Aelekeza Halmashauri nchini kuandaa Mpango wa Uchimbaji madini endelevu
Ruangwa - Lindi
Waziri Mkuu wa...
IVO MAPUNDA AWATENGENEZA MAKIPA BIASHARA UNITED KUWA TISHIO
Na Shomari Binda-Musoma
KOCHA wa makipa wa timu ya Biashara United inayojiandaa na ligi ya Champion Ship,Ivo Mapunda,amesema anawaandaa makipa wa timu hiyo kuwa tishio...
WAZAZI NA WALIMU WATAKIWA KUWA NA MAHUSIANO MEMA ILI KUMJENGA KIMAADILI MWANAFUNZI
TANGA - Wazazi na Walezi wameaswa kujenga mahusuiano mazuri na walimu ili kumuwezesha mwanafunzi kuwa na uelewa mzuri,maadili mema na nidhamu iliyo bora.
Hayo yamebainishwa...
MAJALIWA: SERIKALI ITAENDELEA KUMUENZI MAREHEMU MEMBE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuyaenzi mambo yote mazuri yaliyofanywa na marehemu, Bernad Membe wakati wa utumishi wake Serikalini.
Marehemu Membe ambaye aliwahi...
Wamiliki wa Magari yasiyo na bima waonywa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Wilbrod Mutafungwa amewaonya wamiliki wa vyombo vya moto wanoruhusu vyombo vyao kuingia...
WAZIRI MHAGAMA APOKEA MWONGOZO WA KITAIFA WA UFUATILIAJI NA TATHMINI KATIKA TAASISI ZA UMMA
Na; Mwandishi wetu - Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu nayeshugulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, Amepokea Rasimu ya kwanza...













