FAINALI PROMOSHENI YA NDINGA LA KISHUA , HUYU HAPA MSHINDI WA GARI NA MAMILIONI...
FAINALI ya shindano la Ndinga la Kishua, imemalizika jana ambapo mkazi wa mkoa wa Kahama, Samson Daniel Samson ameibuka kidedea na kujishindia gari aina...
TIGO YAZIDI KUHAMASISHA USAJILI KIDIGITALI , TIGO KILI HALF MARATHON 2023
Mbio maarufu za Tigo Kili Half Marathon zikiwa ni mbio ambazo zipo ndani ya Kilimanjaro Marathon 2023 zimezinduliwa rasmi kimkoa katika viwanja vya Kibo...
WAKALA BORA (GUIDANCE INSURANCE AGENCY) YATUNUKIWA GARI JIPYA
Na Mercy MaimuSanlam General na Sanlam life Insurance Tanzania imemtunuku wakala wao Bora (Guidance Insurance Agency) kwa mwaka 2022 na gari jipya .Ambako Guidance...
WAJAWAZITO 556 KATI YA VIZAZI HAI LAKI 1 NA WATOTO WACHANGA 21 KATI YA...
Na. WAF - Mtwara
Takwimu za Kitaifa zinaonesha kuwa akina mama 556 hufariki kati ya vizazi hai laki moja na watoto wachanga 21 hufariki kati...
“TATUENI CHANGAMOTO ZA WANANCHI,” WAZIRI SIMBACHAWENE.
Na. Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amewataka watendaji wa Serikali kuendelea...
MIRADI 630 YA UWEKEZAJI YENYE THAMANI YA SH. BIL. 3.68 YASAJIWA NA TIC-MAJALIWA
*Imesajiliwa katika mwaka wa fedha 2021/2022 na inatekelezwa na mampuni kutoka India
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa fedha 2021/2022 miradi mipya ya...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI IMEITAKA WIZARA KUINDOA CHANGAMOTO...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeipongeza Wizara kwa jitihada mbalimbali ilizozifanya katika kutatua changamoto ya upungufu wa sukari nchini...
TANZANIA YAMPOKEA SPIKA WA BUNGE LA WANANCHI KUTOKA NCHINI INDIA
Na Magrethy Katengu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson amepokea ugeni kutoka nchini india ambaye ni spika wa bunge...
KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAPOKEA TAARIFA YA UTENDAJI WA WIZARA...
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imepokea taarifa ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa kipindi...
Waziri Simbachawene, aridhishwa na hatua za ujenzi kiwanda kipya cha Mpiga Chapa Mkuu wa...
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa kiwanda cha kupiga chapa cha...













