RAIS SAMIA ATENGUA VIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa Viongozi mbalimbali katika nafasi zao leo tarehe 24/01/2023 ambapo...
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA WIZARA YA UTAMADUNI KWA MAGEUZI YENYE TIJA
Na Shamimu Nyaki
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma, na Maendeleo ya Jamii inayoongozwa na Mwenyekiti Stanslaus Nyongo ambaye ni Mbunge wa Maswa Mashariki,...
TBS WAFANYA MKUTANO HUU MKUBWA NA WAUZAJI , WAINGIZAJI NA WASAMBAZAJI WA BIDHAA ZA...
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania ( TBS ) Dkt. Candida Shirima akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Maalum na Wadau ambao ni Wazalishaji...
VIONGOZI WA CCM KUANZIA NGAZI YA SHINA WASHAURIWA KUSHIRIKIANA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Na Magrethy Katengu
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala Said Sidde amewashauri Viongozi wa Jimbo la Ukonga kuanzia ngazi ya Shina ikiwemo...
JESHI LA POLISI KAGERA LA WAUA WATU 2 WANODHANIWA KUWA MAJAMBAZI, AK 47 NA...
Na Theophilida Felician Kagera.
Jeshi la polisi Mkoa Kagera limesema kuwa limewaua watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi na kufanikiwa kukamata silaha moja ya Bunduki...
KIDUNDA KUVAANA NA MUKALA DAR ES SALAAM
Na. Khadija SeifMAPROMOTA waombwa kutazama vipaji vya Mabondia wachanga mtaani ili viweze kupewa nafasi ya kuonekana ili kubadilisha mchezo wa Masumbwi na kuwa na...
RC CHALAMILA ATANGAZA MSAKO MKALI WAKUWABAINI WATOTO AMBAO HAWAJARIPOTI KUANZA KIDATO CHA KWANZA.
Na Theophilida Felician Kagera.
Mkuu wa Mkoa Kagera Mhe Albert Chalamila aagiza kuwatafuta watoto wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule za Sekondari...
Makatibu Wakuu wastaafu wapongeza kasi ya ujenzi wa mradi wa bwawa la Julius Nyerere.
Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu Wastaafu waliowahi kuhudumu katika Wizara ya Nishati kwa nyakati tofauti wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Kiongozi...
UZALISHAJI WA SUKARI NCHINI UMEONGEZEKA HADI KUFIKIA ZAIDI YA TANI 70,000
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema kuwa uzalishaji wa sukari nchini umeongezeka hadi kufikia zaidi ya tani...
CCM YATOA AGIZO KUHUSUWALIMU KUPEWA VISHIKWAMBI
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu na TAMISEMI kuanzia leo Januari 20, 2023, kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa...













