RAIS DKT SAMIA AUMALIZA MGOGORO WA MIPAKA MBARALI ULIODUMU MIAKA 15
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassam ameumaliza Mgogoro katika eneo la mbarali mkoani Mbeya uliodumu kwa miaka 15 kupitia tangazo la Serikali namba 28 ambao...
JAMII YA WATANZANIA IPEWE ELIMU YA KUTOSHA JUU YA URAHIBU WA DAWA ZA KULEVYA.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ametoa wito kwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa...
WATU 9 WASHIKILIWA KWA WIZI WA VIFAA VYA UJENZI WA SGR NA DARAJA LA...
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linawashilikia watu 9 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo wizi wa vifaa vya ujenzi katika mradi wa reli ya...
Taasisi zinazoendelea na ujenzi wa Ofisi zatakiwa kukamilisha majengo yao kwa wakati Jijini Dodoma
Serikali imeziagiza Taasisi zote zinazoendelea na ujenzi wa majengo ya Ofisi zao Jijini Dodoma kuhakikisha ujenzi huo unakamilika kwa kuzingatia taratibu zote za ujenzi...
MABONDIA ZAIDI YA 20 KUPANDA ULINGONI JANUARI 18 NA 28 MKWAKWANI JIJINI TANGA “USIKU...
Na Boniface Gideon, TANGA
UWANJA wa CCM wa Mkwakwani jijini hapa utashuhudia pambano la mashindano ya ngumi la kufungua mwaka, 2023 wakati mabondia wawili maarufu,...
MAJALIWA: TULINDE MBOLEA YA RUZUKU ILIYOTOLEWA NA RAIS DKT. SAMIA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuwa walinzi wa mbolea ya ruzuku iliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuhakikisha inatumika kwa malengo...
KATA YA BAGAMOYO KOROGWE TC YAPATA SHULE YA SEKONDARI
Na Yusuph Mussa, KOROGWE
HATIMAYE Kata ya Bagamoyo iliyopo Halmashauri ya Mji Korogwe mkoani Tanga imepata shule ya sekondari, na kuifanya Halmashauri hiyo yenye kata...
RAIS SAMIA AWAPONGEZA VIJANA WA KITANZANIA KWA KUPATA MEDALI YA FEDHA
*Ni baada ya kuibuka washindi wa pili katika mashindano ya ubunifu duniani
MHESHIMIWA Rais Dkt. Samia Suluhu Hssan amewapongeza vijana wa Kitanzania walioibuka washindi wa...
Utekelezaji wa mradi wa maji Mugango-Kiabakari umezingatia viwango – Kamati ya Bunge
Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imetembelea mradi wa maji wa Mugango, Kiabakari, Butiama na kuridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa Mradi...













