Saturday, June 27, 2026
Home 2023 January

Monthly Archives: January 2023

DC MWENDA KUANZISHA MASHINDANI YA MPIRA WA MIGUU IRAMBA

0
Na WazoHuru Media, Iramba Ili kuwakutanisha vijana pamoja kwa ajili ya kuimarisha afya zao, kutambua vipaji na kuviendeleza Wilaya ya Iramba imejipanga kuanza mashindano ya...

WAFANYABIASHARA KATIKA MASOKO YA HALMASHAURI YA KINONDONI WAKUMBANA NA CHANGAMOTO YA MIUNDOMBINU MIBOVU

0
Na Magrethy Katengu Wafanyabishara wa Masoko ya Kigogo, Magomeni na Makumbusho katika Manispaa ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam wameiomba Serikali kuwatatulia kero zinazowakabili ikiwemo...

FANYA MIAMALA NA TIGO PESA UIBUKE MSHINDI WA GARI JIPYA , PESA TASLIMU NA...

0
Baadhi ya washindi pesa taslimu katika droo ya saba ya Kampeni ya Ndinga la Kishua katika picha ya pamoja. Meneja wa Wateja Maalum Tigo Pesa...

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YARIDHISHWA NA UJENZI WA CHANZO KIPYA CHA MAJI BUTIMBA

0
Kamati ya kudumu ya bunge kilimo,mifugo na maji ikiongozwa na makamu mwenyekiti mhe Almas Maige wametembelea chanzo kipya cha uzalishaji maji Butimba ambacho kinatarajia...

KANUNI ZA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA ZALETA MABADILIKO MAKUBWA

0
Asilimia 96 ya watanzania waajiriwa kwenye migodi, manunuzi ya ndani yafikia asilimia 92, huduma za jamii zaboreshwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya...

KOROGWE YATOA MILIONI 97 KWA VIKUNDI 16

0
Na Boniface Gideon, TANGA HALMASHAURI ya Mji Korogwe (Korogwe TC) mkoani Tanga imetoa mikopo yenye thamani ya sh. milioni 97 kwa vikundi 16 kwa mwaka...

Lg WAFUNGUA MWAKA 2023 KWA KISHINDO , WABAINISHA MIKAKATI IKIWEMO UVUMBUZI WA KUBORESHA MAISHA...

0
 Mkakati huo unajumuisha uvumbuzi unaolenga mahitaji ya wateja kujenga maisha bora kwa wote, na kujali mazingira.  Mkurugenzi Mtendaji bwana Cho, katika ‘LG World...

RC CHALAMILA: UWEKEZAJI WA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI KAGERA KUKWAMUA MKOA KUTOKA KWENYE UMASIKINI

0
Theophilida FeFelicia, Kagera Mkuu wa Mkoa Kagera Mhe Albert Chalamila amesema kuwa juhudi mbalimbali zinazofanya na Serikali chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassani...

MIRADI 215 YASAJILIWA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI ZANZIBAR-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa wa Mheshimiwa Rais wa awamu ya nane wa Zanzibar na Mwenyekiti...

TAKUKURU PWANI WAJA NA MKAKATI MPYA KWA MWAKA 2023

0
Na Magreth Mbinga Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Mkoa wa Pwani inashukuru Wananchi wa Mkoa huo kwa kuipatia ushirikianao kwa kipindi cha...