DKT. MFAUME AITAKA MLOGANZILA KUWAJENGEA UWEZO WATAALAMU WA WA RRH.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Rashid Mfaume ameitaka Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kuendelea kuwajengea uwezo wataalamu wa Hospitali za...
DKT. KIRUSWA AIOMBA BENKI YA DUNIA KUWEZESHA TAFITI ZA MADINI MKAKATI KWA NCHI WAZALISHAJI
Riyadh, Saudi Arabia
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameiomba Benki ya Dunia kuwezesha kufanyika kwa tafiti za kina kwa nchi zenye utajiri wa...
TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MLIPUKO
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa vifaa vya kujikinga na magonjwa ya mlipuko kwa ajili ya watumishi wanaotoa huduma za afya na wateja wanaowahudumia,kutoka...
KILA RC,DC TANZANIA ASIMAMIE ZOEZI LA UPANDAJI MITI KATIKA MAENEO YAO ILI KUFIKA LENGO...
NA MWANDISHI WETU
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kusimamia zoezi la...
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SKULI YA KWALE PEMBA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 9 Januari 2023 amefungua rasmi Skuli ya Msingi ya...
DKT. KIRUSWA KUSHIRIKI KONGAMANO LA PILI UZALISHAJI MADINI MKAKATI SAUDI ARABIA
Naibu Waziri wa Madini, Dkt Steven Kiruswa anatarajiwa kuiwakilisha Tanzania katika Kongamano la pili la uzalishaji wa Madini mkakati la Wizara za Madini kutoka...
TIGO WAZINDUA MNARA KALAMBO – RUKWA , WAZIRI NAPE AWAPONGEZA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, MHE. NAPE NNAUYE,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa Tigo wilayani Kalambo,mkoani Rukwa,kupitia mradi wa UCSAF(Universal...
MAKAMU WA RAIS KUONGOZA MAPINDUZI DAY KWA KUPANDA MITI
NAMWANDISHI WETU
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kuwaongoza wananchi wa Jiji la Dodoma kupanda miti...
KUELEKEA MAPINDUZI DAY DR JAFO AHIMIZA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIZA NCHINI
NA MWANDISHI WETU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito kwa Watanzania kutunza mazingira na...
WAZIRI MKUU AWATAKA WAKUU WA WILAYA, WAGANGA WAKUU KUSIMAMIA MAADILI KWA WATUMISHI SEKTA YA...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa wilaya na waganga wakuu wa mikoa yote nchini wasimamie maadili kwa watumishi wa sekta ya afya ili...













