Saturday, June 27, 2026
Home 2023 January

Monthly Archives: January 2023

WASHINDI 51 WA NMB MASTA BATA WAONDOKA NA MAMILIONI

0
Na Boniface Gideon, TANGA Droo ya mwisho wa Malipo ya Kidijitali na Matumizi ya NMB Mastercard na NMB QR ya Masta Bata kote kote inayoendeshwa...

SERIKALI IMEANZA KUWACHUKULIA HATUA WAFANYABIASHARA WA KEMIKALI ZA KUCHENJUA DHAHABU WASIOTENDA HAKI

0
#Biteko awataka wafanyabiashara wa kemikali za kuchenjua madini kuuza kwa kufuata bei elekezi Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Serikali imeanza kuchukua hatua...

WANAFUNZI MSINGI TANGA WAJENGEWA UWEZO SAYANSI KILIMO JANJA.

0
Na Boniface Gideon, TANGA WANAFUNZI kutoka Shule Mbalimbali za Msingi Jiji la Tanga wamejengewa Uwezo juu ya Sayansi ya Kilimo Cha Kisasa Maarufu kama Kilimo...

WANAFUNZI WA VYUO NCHINI WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI MBALIMBALI

0
Wanafunzi wa vyuo nchini wametakiwa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika utekezaji wa shughuli mbalimbali za kuhifadhi na kulinda mazingira ili kupambana na mabadiliko...

SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA MBOLEA

0
Serikali imehimiza matumizi ya mbolea kwa wananchi wa Kijiji cha Mlali Iyegu kilichopo Kata ya Mlali katika Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma ili...

BIMA YA AFYA KWA WOTE ITAWEZESHA WANANCHI KUWA NA UHURU

0
Na.Faustine Gimu,Wizara ya Afya,Idara ya Kinga,Sehemu ya Elimu ya Afya Kwa Umma Kaimu Mkurugenzi Msaidizi  Wizara ya Afya , Idara ya Kinga ,Sehemu ya Elimu...

WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA VIONGOZI WA HALMASHAURI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Halmashauri zote nchini waweke mpango wa namna bora ya kuviwezesha vikundi vya wajasiriamali katika maeneo yao kupitia...

RAIS DKT. SAMIA ATEUA GAVANA MPYA WA BENKI KUU

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana...

WADAU NA WAFANYAKAZI WA BANDARI YA BUKOBA WAIPONGEZA TAKUKURU KAGERA KUWAFIKISHIA ELIMU DHIDI YA...

0
Na Theophilida Felician, Kagera Wafanyakazi pamoja na wa dau mbalimbali katika bandari ya Bukoba Mkoani Kagera wameishukuru na kuipongeza Taasisi ya kuzuia na kupambana na...

RC CHALAMILA AKIFIKIA KIWANDA CHA CHAI CHA KAGERA TEA COMPANY LTD WAKULIMA WATUA KILIO...

0
Na Theophilida Felician Kagera. Wakulima katika Kijiji cha Ibaraizibo kata Karabagaine Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera wamekilalamikia kiwanda cha chai Kagera TEA LTD kwakushidwa kutimiza...