Home 2022
Yearly Archives: 2022
MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA OPERATION YA ANUANI NA MAKAZI
Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa operesheni anwani za makazi kutoka kwa Waziri wa...
DKT. PINDI CHANA AONYA WANAOVUNJA SHERIA ZA UHIFADHI
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, amesema wapo watu wachache wanaovunja sheria za uhifadhi kwa makusudi na wengine kwa kutokujua sheria,...
WALIOKUWA WAKIISHI NDANI YA HIFADHI YA NGORONGORO WAISHUKURU SERIKALI KUKABIDHIWA NYUMBA MPYA
Kiongozi wa Kimila wa kabila la Wamasai waliokuwa wakiishi ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro, Laigwanani Tauwo ametoa shukrani kwa serikali baada ya serikali kuanza...
EFM WAJIBU MASWALI AMBAYO YANAULIZWA MTANDAONI KUHUSU DINA MARRIOS NA OSCAR OSCAR
Meneja wa vipindi EFM Dickson Ponela ametambulisha kipindi kipya cha JIONI YA LEO kitakacho kutanisha watangazaji wa vipindi mbalimbali kwenye kituo hiko akiwa na...
BASHUNGWA AWATAKA WAKUU WA MIKOA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MIKAKATI YA SEKTA YA KILIMO.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewasisitiza Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa...
SERIKALI INATATUA CHANGAMOTO ZA VIWANDA VYA KATANI
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt .Ashatu Kijaji (Mb.) amesema Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutatua changamoto mbalimbali zinazovikabili viwanda vya...
MSHINDI WA TIGO CHEMSHA BONGO AKABIDHIWA MILIONI 10
Na Mwandishi Wetu.
Kampuni namba moja nchini Tanzania kwa Utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo , Imekabidhi Hundi ya Milioni 10 kwa Mshindi wa Tigo...
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA CRDB WAWEKEANA SAINI UANZISHWAJI WA DAYASPOLA DIGITAL APP
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na benki ya CRDB PLC wamefanya zoezi la utiajai saini hati ya...
CHUO CHA MAJI KUPIMA SAMPULI YA MAJI BURE KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM
Katika kuadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza tarehe 16/06/2022 hadi 23/06/2022, Chuo cha Maji kimeamua kurudisha huduma kwa jamii kwa kufanya zoezi la...
Dkt. Mpango, Dkt. Mwinyi na Majaliwa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alipokutana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...













