Home 2022
Yearly Archives: 2022
WIZARA YATOA MAFUNZO YA UNUNUZI NA UGAVI KWA IDARA NA VITENGO VYA WIZARA YA...
Wizara ya Madini inaendelea na mafunzo ya ununuzi na ugavi kwa Idara na Vitengo vya Wizara ya Madini.
Mafunzo hayo yametolewa Kwa Idara na Vitengo,...
RAIS MWINYI AZINDUA MFUKO WA FURSA SAWA KWA WOTE (EOTF)
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali zote mbili zitaendelea kuweka...
BASHUNGWA AAGIZA MAAFISA ELIMU KUBORESHA MIUNDOMBINU NA MAZINGIRA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amewaagiza Maafisa Elimu wote nchi nzima kuendelea kuijengea...
NAIBU WAZIRI WA MADINI AKUTANA NA KAMPUNI YA NOBLE HELIUM INAYOTAFITI GESI
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amekutana na kuzungumza na Meneja wa Kampuni ya Noble Helium Joseph Uisso inayofanya utafiti wa gesi ya...
RC MAKALLA ATOA MAELEKEZO MATANO KWA WENYEVITI NA WATENDAJI MITAA NA KATA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amefanya kikao kazi Cha maelekezo na Viongozi wa ngazi ya Wilaya, Kata na...
CHAMA CHA WAHASIBU KUWAJENGEA UWEZO MACHINGA
Mapema leo Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum wameingia makubaliano ya kuwawezesha wafanya...
SERIKALI KUHAKIKISHA HUDUMA ZA VIPIMO VYA SIKOSELI ZINAPATIKANA KATIKA VITUO VYA AFYA NCHINI
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeingiza ugonjwa wa Sikoseli katika mpango mkakati wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ili kuweza kupambana nao na kuhakikisha huduma...
SERIKALI KUWALINDA WATOTO DHIDI YA VITENDO VYA KIKATILI
Hayo yamesemwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda wakati wa kilele cha Maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika...
WIZARA YA MADINI KUUTANGAZA MGODI WA NYAKAVANGALA KUVUTIA WAWEKEZAJI
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST)...
UZINDUZI: ROYAL TOUR, MWANZA
Maandamano ya Amani kuelekea viwanja vya Rockcity Mall kwa lengo la uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour katika jiji la Mwanza.













