Saturday, June 27, 2026
Home 2022

Yearly Archives: 2022

OFISI YA WAZIRI MKUU YASHIRIKI WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

0
Watumishi wa ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu waaswa kuendelea kufuata maadili ya utumishi wa Umma kwa kufanya kazi vizuri na kuwa...

WABUNGE VINARA WAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUKEMEA VITENDO VYA UKATILI

0
Katibu wa Wabunge  vinara wa Ustawi wa Jamii Mhe.Justine Nyamoga amesema wapo tayari kushirikiana na Serikali kukemea vitendo vya ukatili kwenye jamii.Mhe. Nyamoga ameyasema...

TUNAFUATILIA MWENENDO WA UWEPO WA TEMBO KATA YA MKIWA NA MISUGHAA

0
Tumeendelea kupokea na kufuatilia mwenendo wa taarifa za uwepo wa TEMBO katika maeneo ya kata za Mkiwa na Misughaa wilaya ya Ikungi Ofisi ya mkuu...

RC MALIMA ATOA MASAA 24 KWA WATENDAJI WANAOSIMAMIA HUDUMA ZA KIJAMII, MSOMERA

0
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima ametoa saa 24 kwa watendaji wanaosimamia miundombinu ya huduma za kijamii na sekta ya mifugo kwa wananchi...

SADIO MANE ATUA UJERUMANI

0
Msenegali Sadio Mane tayari ametua nchini Ujerumani kufanyiwa vipimo vya afya kwa ajili ya kukamilisha dili la kujiunga na klabu ya Bayern Munich akitokea...

RC MAKALLA APONGEZA BANK YA NMB KWA HUDUMA RAFIKI KWA WANANCHI WOTE

0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa wito kwa Bank ya NMB kuendelea kubuni huduma rafiki kwa Makundi mbalimbali katika...

WAUZA MAGAZETI WAKERWA NA ASKARI JIJI LA DAR ES SALAAM

0
Baadhi ya wauza magazeti jijini Dar es Salaam wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na askari wa jiji ikiwamo kuchukua meza wanazofanyia biashara hivyo kukwamisha kazi yao...

WAUZA MAGAZETI WAKERWA NA ASKARI WA JIJI LA DAR ES SALAAM

0
Baadhi ya wauza magazeti jijini Dar es Salaam wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na askari wa jiji ikiwamo kuchukua meza wanazofanyia biashara hivyo kukwamisha kazi yao...

HESLB YAANZA KUWADAI TZS BILIONI 10.6 WALIOKOPESHWA ‘Law School of Tanzania’

0
Wanasheria 5,065 waliokopeshwa zaidi ya TZS 10.6 bilioni kama mikopo wakiwa wanafunzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria Tanzania (Law School of Tanzania -...

MRADI WA MAJI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI WASHIKA KASI SIMIYU

0
Mradi wa maji wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi Simiyu maandalizi yake yameshika kasi ambapo hivi sasa kazi ya kuhamisha maeneo ya maziko ili...