Home Kitaifa RAIS MWINYI AZINDUA MFUKO WA FURSA SAWA KWA WOTE (EOTF)

RAIS MWINYI AZINDUA MFUKO WA FURSA SAWA KWA WOTE (EOTF)

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali zote mbili zitaendelea kuweka mazingira rafiki na kufanya kazi kwa karibu na wadau katika kuimairisha ustawi na ujenzi wa Wananchi.

Dkt Mwinyi alisema hayo Jana wakati anazindua Mfuko wa fursa sawa kwa Wote (EOTF) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Naye Mwenyekiti wa Mfuko huo Mama Anna Mkapa alisema takribani miaka 25 wamekuwa wakisaidia wanawake na wajasiriamali wapatao 6,000 kutoka Tanzania bara na Visiwani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!