Saturday, June 27, 2026
Home 2022

Yearly Archives: 2022

Tembo Warriors Wanga’ra Tena Ulaya

0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa amesema mchezaji wa timu ya Walemavu ya Tanzania ya Tembo Warriors Alfan Athuman Kiyanga aliibuka...

NAIBU WAZIRI MASANJA AKUTANA NA UJUMBE WA BARAZA LA MADIWANI LA WILAYA YA USHETU

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amekutana na Ujumbe wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu la...

NAPE ASISITIZA ULINZI WA MTOTO DHIDI YA MATUMIZI YA TEHAMA

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye ametoa rai kwa jamii ya kitanzania kumlinda mtoto dhidi ya matumizi ya intanenti...

HAKIELIMU YATOA MAPENDEKEZO KATIKA BAJETI YA SERIKALI KWENYE SEKTA YA ELIMU

0
Taasisi ya hakielimu imesema ni wakati sahihi kama taifa kutumia lugha ya kiswahili kama lugha ya kufundishia inaweza kuandaa watoto kutumia kiswahili. Hayo yamezungumzwa na...

TRC HAINA MGOGORO WA KIMALIPO NA KAMPUNI YA EUROWAGON DAR ES SALAAM

0
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeendela kusisitiza kwamba halina mgogoro wa kimalipo na kampuni ya Eurowagon ya nchini Uturuki ambayo ilipewa zabuni ya kutengeneza...

CHONGOLO AWAONYA MAKATIBU UWT KUJIHUSISHA NA MAKUNDI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo ametoa onyo kwa makatibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kujihusisha na makundi ya...

TIGO WALETA MAPINDUZI ULIPIAJI WA PARKING MLIMANI CITY

0
Dar es Salaam. Tarehe 15 Juni, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidijitali nchini , Tigo Tanzania imetangaza uzinduzi wa huduma ya...

BALOZI POLEPOLE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE MALAWI

0
Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe. Humphrey H. Polepole amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Nancy Tembo (Mb) Waziri wa Mambo ya Nje ya...

SHAMRASHAMRA NDEREMO NA VIFIJO ZIFF ZANZIBAR JUNI 18 FILAMU GANI BORA ITAIBUKA KIDEDEA DUNIANI?

0
Ikiwa imesalia Masaa machache kuelelea katika Tamasha la ZIFF Zanzibari huku Wasanii waigizaji kutoka Nchi mbalimbali wanaotarajiwa kuhudhuria wakitafakari nini kitatokea mwisho wa Tamasha...