Home Kitaifa Dkt. Mpango, Dkt. Mwinyi na Majaliwa Zanzibar

Dkt. Mpango, Dkt. Mwinyi na Majaliwa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alipokutana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Sheikh Abeid Amani Karume katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitokea nchini Oman alikofanya Ziara ya Kiserikali ya siku 3.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!