Friday, June 26, 2026
Home 2022 November

Monthly Archives: November 2022

MAJALIWA: TUMIENI MAPATO YA NDANI KUTEKELEZA MIRADI

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri nchini kutumia fedha za makusanyo ya ndani katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo badala ya kusubiri fedha kutoka...

NAIBU WAZIRI AMPA SIKU 21 MKURUGENZI MUSOMA VIJIJINI KUMALIZA UJENZI SHULE MPYA.

0
Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEM David Silinde amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Musoma Vijijini mkoa wa Mara Msongela Palela kuhakikisha mpaka ifikapo mwisho...

WATUMISHI BRELA WAHIMIZWA KUZINGATIA MAADILI

0
Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wametakiwa kuzingatia mafunzo ya maadili ya Utumishi wa Umma kwani yanawezesha watumishi kujisahisha pale...

SNEAKERS AND HEELS INA NAFASI KUBWA KUTANUA SEKTA YA UTALII KWA WANAWAKE

0
Na Magreth Mbinga Hali ya mawasiliano katika mlima Kilimanjaro ipo sawa kabisa tunaishukuru sana Wizara ya Mawasiliano kupitia TTCL kwa kutoa huduma hivyo watalii wanawasiliana...

MHE. NGOMA: TUACHE USIRI, TUFUNGUKE ELIMU YA UKIMWI

0
NA.MWANDISHI WETU Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan Ngoma ameiasa jamii kubadili mitazamo juu ya utoaji wa elimu kuhusu masuala ya UKIMWI kwa vijana...

WATANZANIA WATAKIWA KUFANYA UTALII WA BAHARI KUJIONEA RASILIMALI ZILIZOPO

0
Na Magreth Mbinga Utalii ni biashara ambayo inatufanya tuwe wamoja sababu tunavivutio vya kutosha wote tukiwa mabalozi kutangaza Utalii tutafika mbali. Hayo yamezungumzwa na Waziri wa...

JAFO ATUNUKIWA TUZO YA MHITIMU BORA CHUO KIKUU SUA

0
Dkt. Jafo ni miongoni mwa wanazuoni wachache waliopata tuzo hiyo akifanya vizuri katika masomo yake na kuleta tija na mchango mkubwa kwa jamii tangu ahitimu...

MAKAMU WA RAIS AKIKAGUA MIRADI YA MAENDELEO UKEREWE

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 25 Novemba 2022 amefanya ziara ya kikazi ya siku...

SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEWATAKA WAZALISHAJI NA WAINGIZAJI WA BIDHAA NCHINI KUSHIRIKIANA NAO

0
Shirika la viwango Tanzania,(TBC) limewataka Wazalishaji na waingizaji wa bidhaa kushirikiana nao kwa lengo la kuhakikisha kuwa ubora wa bidhaa zinazozalishwa na kuingizwa nchini...

MRADI WA TIGO eSchools WAIFIKIA BENJAMIN MKAPA SEKONDARI

0
Viongozi mbalimbali kutoka kampuni ya Tigo akiwemo Afisa Mtendaji Mkuu Bwn. Kamal Okba , katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shule ya Sekondari BENJAMIN...