SNEAKERS AND HEELS INA NAFASI KUBWA KUTANUA SEKTA YA UTALII KWA WANAWAKE
Na Magreth Mbinga
Hali ya mawasiliano katika mlima Kilimanjaro ipo sawa kabisa tunaishukuru sana Wizara ya Mawasiliano kupitia TTCL kwa kutoa huduma hivyo watalii wanawasiliana...
MHE. NGOMA: TUACHE USIRI, TUFUNGUKE ELIMU YA UKIMWI
NA.MWANDISHI WETU
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan Ngoma ameiasa jamii kubadili mitazamo juu ya utoaji wa elimu kuhusu masuala ya UKIMWI kwa vijana...
WATANZANIA WATAKIWA KUFANYA UTALII WA BAHARI KUJIONEA RASILIMALI ZILIZOPO
Na Magreth Mbinga
Utalii ni biashara ambayo inatufanya tuwe wamoja sababu tunavivutio vya kutosha wote tukiwa mabalozi kutangaza Utalii tutafika mbali.
Hayo yamezungumzwa na Waziri wa...
JAFO ATUNUKIWA TUZO YA MHITIMU BORA CHUO KIKUU SUA
Dkt. Jafo ni miongoni mwa wanazuoni wachache waliopata tuzo hiyo akifanya vizuri katika masomo yake na kuleta tija na mchango mkubwa kwa jamii tangu ahitimu...
MAKAMU WA RAIS AKIKAGUA MIRADI YA MAENDELEO UKEREWE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 25 Novemba 2022 amefanya ziara ya kikazi ya siku...
SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEWATAKA WAZALISHAJI NA WAINGIZAJI WA BIDHAA NCHINI KUSHIRIKIANA NAO
Shirika la viwango Tanzania,(TBC) limewataka Wazalishaji na waingizaji wa bidhaa kushirikiana nao kwa lengo la kuhakikisha kuwa ubora wa bidhaa zinazozalishwa na kuingizwa nchini...









