Friday, June 26, 2026
Home 2022 November 16

Daily Archives: November 16, 2022

CRDB YAZINDUA APP YA CRDB BANK WAKALA.

0
Na Mercy Maimu Serikali imesema sekta ya fedha imekuwa na mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa Taifa pamoja na kujenga uchumi jumuishi.Imesema kuwa hatua hiyo...

UKAGUZI WA KITUO CHA MISUGUSUGU KWA LENGO LA KUHAKIKISHA UTOAJI MZURI WA HUDUMA BORA...

0
Na Mercy Maimu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge viwanda biashara na Mazingira David Mwakiposa Kihenzile amesema lengo la kuanzishwa kwa kituo Cha Misugusugu...

ASILIMIA 70 YA MAGONJWA YA MILIPUKO YANATOKANA NA UCHAFU

0
Na. Catherine Sungura, WAF-Dodoma Imeelezwa kuwa udhibiti wa usafi binafsi na wa mazingira unasaidia kupunguza asilimia 70 ya magonjwa ya milipuko yanayotokana na uchafu ikiwemo...

SIKIKA WATOA MATOKEO YA UTAFITI WA UWAZI NA UWAJIBIKAJI WA WANANCHI KATIKA MASWALA YA...

0
Na Magreth Mbinga Taasisi ya SIKIKA imetoa matokeo ya utafiti ambao umefanyika mwaka 2020 juu ya uwazi na uwajibikaji wa mwananchi katika maswala ya bajeti. Matokeo...

WAZIRI MKUU AITAKA NHC KUSHIRIKISHA WABIA WENYE UWEZO

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuhakikisha kuwa linachambua na kupitia kwa umakini wawekezaji watakaoleta maombi ya ujenzi wa...

WAZIRI MKENDA NA WAZIRI LELA MOHAMED WAONGOZA KIKAO CHA MAPITIO YA SERA NA MITAALA...

0
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prf Adolf Mkenda (Mb) pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar...

TPDC FC YAAPA KUPAMBANA HADI KUTWAA UBINGWA MASHINDANO YA SHIMUTA

0
Na Boniface Gideon, TANGA TIMU ya Soka ya Shirika la Petroli Tanzania (TPDC) imelazimishwa sare tasa kutokufungana na timu ya Taasisi ya Maendeleo ya Jamii...

TAKUKURU PWANI YABAINI UPIGAJI UNAOFANYWA NA WAZABUNI KATIKA BAADHI YA MIRADI YA MAENDELEO

0
Na Magreth Mbinga Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Mkoa wa Pwani haina uvumilivu baada ya kubaini Serikali inakosa mapato kutokana na wazabuni...

TANZANIA MIONGONI MWA NCHI 5 UTEKELEZAJI WA KUKABILIANA NA DHARURA NA MAJANGA AFRIKA

0
Na. Catherine Sungura, WAF-Dodoma Tanzania ni miongoni mwa nchi 5 kati ya 17 za awamu ya kwanza barani Afrika zitakazotekeleza mradi wa kuwajengea uwezo wa...