TAMASHA LA MUZIKI WA ACCESS AFRIKA
Na Mercy Maimu
Katika kuelekea maazimisho ya Mkutano wa Muziki wa Access ulioandaliwa na Taasisi ya Music Africa utakaofanyika Novemba 24 -26,2022 Katibu Mkuu wa...
NAIBU WAZIRI MAVUNDE AZINDUA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI KWENYE MASHAMBA YA MBEGU YA...
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde amezindua rasmi ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji katika mashamba ya uzalishaji mbegu yaliyo chini ya Wakala wa...
-WAZIRI MKUU AZINDUA UGAWAJI WA VISHIKWAMBI KWA SEKTA YA ELIMU-
Asisitiza vitumike katika kuinua ubora wa elimu nchini na si vinginevyo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Ijumaa Novemba 4, 2022 amezindua ugawaji wa vishikwambi katika...
WAZIRI MKUU AZINDUA UGAWAJI WA VISHIKWAMBI KWA SEKTA YA ELIMU
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo Ijumaa Novemba 4, 2022 amezindua ugawaji wa vishikwambi katika sekta ya elimu na amesisitiza kwamba vifaa hivyo vitumike katika...
UFUATILIAJI FEDHA ZA MIRADI
Na Mercy Maimu
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Ilala imeendelea na utekelezaji wa majukumu yake ambapo imeweka kipaumbele katika usimamizi...
DKT.BITEKO AISISITIZA AMGC KUWEKA MKAZO KWENYE MADINI YA MKAKATI
#Serikali kutoa ushirikiano kuendeleza Kituo cha AMGC
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameutaka uongozi wa Kituo cha African Minerals and Geosciences Centre (AMGC) kianze...









