Friday, June 26, 2026
Home 2022 November

Monthly Archives: November 2022

TAMWA YATOA TAMKO KATIKA KUADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KINGONO

0
Na Magreth Mbinga TAMWA ilibaini kuwa tatizo kubwa la rushwa ya ngono na unyanyasaji wa kingono mahala pa kazi na katika elimu ya vyuo vikuu...

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA UWT ATAKA MSHIKAMANO

0
Na Mercy Maimu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN, ameutaka Umoja wa...

MAJALIWA: UWEKEZAJI NCHINI HAUTAKWAMA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaunga mkono wawekezaji ili kuhakikisha uwekezaji...

VIONGOZI WA DINI, KIMILA NA WAZEE WATAKIWA KUSAIDIA KULEA WATOTO NA VIJANA KIMAADILI

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Viongozi wa dini zote, Viongozi wa Kimila na...

WANANCHI KIBITI WAMSHUKURU RAIS SAMIA UJENZI DARAJA LA MBUCHI

0
Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa...

AFISA MTENDAJI MKUU BRELA APATA TUZO

0
Afisa Mtendaji Mkuu kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa amepata tuzo ya utendaji bora na kuwa miongoni mwa...

NAIBU WAZIRI TAMISEMI ATOA SIKU 15 TARIME UJENZI VYUMBA VYA MADARASA KUKAMILIKA.

0
Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEM David Silinde amempa siku 15 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoa wa Mara kukamilisha ujenzi wa...

WAKUU WA NCHI NA SERIKALI YA UMOJA WA AFRIKA WAMEMPONGEZA MHE. RAIS SAMIA SULUHU...

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika wamempongeza Rais wa...

WAZIRI MKUU AZIPA MAAGIZO HALMASHAURI USIMAMIZI WA MIRADI

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri zote nchini kuongeza nguvu ya kusimamia miradi mingine ya maendeleo baada ya kutekeleza kwa mafanikio miradi ya mpango...

MHE. KATAMBI : ENDELEENI KUCHANGIA MFUKO WA UDHAMINI WA KUDHIBITI UKIMWI

0
NA.MWANDISHI WETUNaibu Waziri Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi ameiasa jamii na wadau kuendelea kuchangia fedha...