Saturday, May 2, 2026
Home 2025 February

Monthly Archives: February 2025

WAZIRI CHANA ASISITIZA-AJENDA YA KULINDA WANANCHI DHIDI YA WANYAMAPORI WAKALI NI WAJIBU WETU SOTE

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezielekeza halmashauri zote nchini kuchukua jukumu la kulinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali...

BAADA YA KUMALIZA KAZI YA KUPELEKA UMEME VIJIJINI SASA KASI INAHAMIA VITONGOJINI – MHE....

0
📌 Asema upelekaji umeme vitongojini umefikia asilimia 52.3 📌 Asisitiza umeme kufika maeneo ya uchimbaji madini Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kuwa hadi...

DC KWIMBA APONGEZA UJENZI WA SEKONDARI YA DKT SAMIA.

0
Mkuu wa Wilaya ya Halmashauri ya Kwimba ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi inazochukua katika ujenzi wa...

( CCM) WILAYA YA NYANG’HWALE MKOANI GEITA YAAZIMISHA MIAKA48 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA...

0
WILAYA ya Nyang'hwale imeazimisha kwa namna yake miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo ujenzi wa ofisi ya tawi ilichangiwa fedha...

WASIRA ATOA WITO KWA VIONGOZI WA CCM KUWASIKILIZA WATU KWENYE MAENEO YAO

0
Na Shomari Binda-Musoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa Stephene Wasira ametoa wito kwa viongozi wa chama hicho kuwasikiliza watu kwenye maeneo...

ELIMU YA KISHERIA NA USURUHISHI IWE KIPAUMBELE KWA WANANCHI “RC MTAMBI”

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amesisitiza elimu ya kisheria na usuruhishi ipewe kipaumbele na kutolewa kwa wananchi. Kauli hiyo imetolewa...

RAIS DKT SAMIA AKIWAHUTUBIA MAJAJI KWENYE MAADHIMISHO YA SHERIA HAPA NCHINI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia, Majaji, wageni waalikwa pamoja na wananchi kwa ujumla kwenye Maadhimisho ya...

AZMA YA SERIKALI NI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA UMEME WA UHAKIKA WAKATI WOTE- MHE. KAPINGA

0
📌 Serikali yafuatilia kwa karibu upatikanaji umeme Lushoto 📌 Vijiji vyote Nkasi vyafikiwa na huduma ya umeme Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ni...

KUTOKA BUNGENI DODOMA

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akijadiliana jambo na Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga Bungeni Jijini Dodoma wakati...

RAIS SAMIA AMEING’ARISHA CHAMWINO KIMAENDELEO – DKT. BITEKO

0
📌Serikali imewekeza zaidi ya bilioni 13 elimu ya Sekondari Chamwino 📌Uboreshaji wa miundombinu shilingi bilioni 17.9 zimetumika 📌Vijiji vyote 47 Chamwino vimewashwa umeme 📌Asema Sekta ya Nishati...