DC SAME AKERWA NA USIMAMIZI HAFIFU MRADI WA UJENZI WA SHULE MPYA YA AMALI,
Na Ashrack Miraji Mzawa Media
Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa Shule mpya...
” MFALME MASUBO”AFIKISHA UJUMBE WA MIAKA 48 YA CCM NA KUELEZEA MAFANIKIO YAKE
Na Shomari Binda-Rorya
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi (CCM)mkoa wa Mara Julius Masubo maarufu " Mfalme" amesema miaka 48 ya CCM ina maana kubwa kwa...
WANANCHI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA MIRADI KUUNGANISHA UMEME – MHE. KAPINGA
📌 Lengo ni wananchi kuepuka gharama inayotokana na kuunganisha umeme wakati miradi imekamilika
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga ametoa rai kwa wananchi kuunganisha...
RAIS DKT. SAMIA APOKEA TUZO YA GLOBAL GOALKEEPER KWA MAFANIKIO KATIKA SEKTA YA AFYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili na kupokelewa na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwenye uwanja wa...
FCS, SIDO WASAINI MAKUBALIANO YA UBIA KUYAWEZESHA MAKUNDI MAALUM KIUCHUMI
Shirika la The Foundation For Civil Society FCS limetia saini makubaliano ya ubia kati yake na Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) kutekeleza mradi wa...
UTENDAJI KAZI KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA TANESCO WAMKWAZA DKT. BITEKO
📌 Amuagiza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO kumchukulia hatua mtaalam aliyemfokea mteja
📌 Ataka Mpango Mahsusi wa Nishati uliosainiwa katika Mkutano wa Mission 300 kupewa kipaumbele
📌 PURA,...
WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO WATAKIWA KUWAFICHUA WAKWEPA KODI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amewataka Wafanyabiashara wa Kariakoo Jijini Dar es Salaam kuwafichua watu wanaokwepa Kodi...
WASIRA:CCM YALETA USAWA WA ELIMU KWA WANAWAKE NA WAVULANA
Na Mwaandishi wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stiven Wasira, amesema chama hicho kimewakomboa wanawake kwa kuhakikisha wanapata elimu sawa na wavulana.
Akizungumza...
TANZANIA KUFANYA SENSA YA UZALISHAJI VIWANDA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kufanya sensa ya uzalishaji viwanda kwa mwaka wa rejea 2023 (census of industrial production 2023) mwezi...
KATIBU MKUU WA WAGANGA TANZANIA AWATAKA WAGANGA KUWA NA LESENI
UMOJA Wa Waganga na Wakunga Wa Tiba Asili Tanzania (UWAWATA) umewataka wanachama wake kusajiriwa ili wapate leseni kutoka Wizara ya Afya waweze kuaminiwa na...













