Home Kitaifa RAIS DKT SAMIA AKIWAHUTUBIA MAJAJI KWENYE MAADHIMISHO YA SHERIA HAPA NCHINI

RAIS DKT SAMIA AKIWAHUTUBIA MAJAJI KWENYE MAADHIMISHO YA SHERIA HAPA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia, Majaji, wageni waalikwa pamoja na wananchi kwa ujumla kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 03 Februari, 2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!