Saturday, September 19, 2026
Home 2024 December

Monthly Archives: December 2024

MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA ZAKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA USIMAMIZI.

0
HAMIDA RAMADHANI MZAWA ONLINE MEDIA DODOMA NAIBU Waziri wa TAMISEMI, Dkt.Festo Dugange, amesema Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini zinakabiliwa na changamoto nyingi, zikiwemo uhaba...

CCM YASISITIZA MAPAMBANO DHIDI YA UJINGA MALAZI NA UMASIKINI SIKU YA UHURU

0
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed amesema kuwa chama hicho kimeendelea kupambana na maadui watatu...

“WALIOHUSIKA NA SHAMBULIO LA WAFANYAKAZI WA TRA HAWATAACHWA” – RC CHALAMILA

0
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila amesema wahusika wote walioshiriki katika shambulio la wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...

KAMISHNA MKUU WA TRA AMESEMA KITENGO CHA KUPAMBANA NA MAGENDO KITAFANYA KAZI NA POLISI

0
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) BW. Yusuph Mwenda amesema kuanzia sasa oparesheni zote zitakazofanywa na kitengo cha kudhibiti wakwepa kodi (kitengo...

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA VIONGOZI WA SERIKALI NA KUFANYA UTEUZI MPYA

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

WAZALISHAJI WA BIDHAA NCHINI WAJIVUNIA TBS KUPOKEA CHETI CHA UMAHIRI KATIKA UTHIBITISHAJI WA UBORA...

0
Na Mwandishi Wetu. SERIKALI imedhamiria kujenga misingi shindani na endelevu yenye ubora wa utoaji wa huduma wenye kuwezesha biashara nchini kwa kuzingatia jiografia na rasilimali...

BENDERA YA KAMPUNI YA YAS ( ZAMANI TIGO ) YAFIKISHWA KWENYE KILELE CHA MLIMA...

0
Na Mwandishi Wetu Mazingira mazuri ya uwekezaji nchini Tanzania yameiwezesha Yas Tanzania kujidhihirisha kama mwekezaji kinara katika sekta ya mawasiliano nchini, alisema Mkurugenzi wa Kanda...

CHATO, GEITA: MAOMBI YATOLEWA KWA SERIKALI KUONGEZA MAJIKO YA GESI YA RUZUKU

0
Wilaya ya Chato, mkoani Geita, imeiomba serikali kupitia mamlaka husika kuongeza idadi ya majiko ya gesi ya ruzuku kutokana na ongezeko kubwa la wananchi...

UNAWEZA KUSHINDA MAMILIONI , GARI AU SIMU KUTOKA MTANDAO WA YAS , SOMA HAPA

0
Desemba , 06 , 2024 : Kampuni ya Mawasiliano ya YAS ( zamani Tigo ) , imekabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi  Kampeni ya “Magift...