Home Kitaifa UNAWEZA KUSHINDA MAMILIONI , GARI AU SIMU KUTOKA MTANDAO WA YAS ,...

UNAWEZA KUSHINDA MAMILIONI , GARI AU SIMU KUTOKA MTANDAO WA YAS , SOMA HAPA


Desemba , 06 , 2024 : Kampuni ya Mawasiliano ya YAS ( zamani Tigo ) , imekabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi  Kampeni ya “Magift ya kugift” kwa wiki ya 4 ambapo kati ya washindi hao baadhi wamejishindia kiasi cha Shilingi Milioni 1 kila mmoja  na zawadi za simu

Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi hizo kwa washindi Bi. Edwardina Mgendi – Mkurugenzi wa Masoko Yas, amesema anayofuraha kuona wanakabidhi zawadi kwa washindi kwa wiki ya nne nakudai kuwa hii ni sehemu ya utaratibu wao kutoa zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu na zawadi nyinginezo katika kipindi hiki cha kuelekea siku kuu za mwisho wa mwaka.

Bi. Mgendi amesema Watanzania bado wana nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali kila Siku na Kila Wiki pamoja na zawadi kubwa ya Gari , kinachotakiwa ni kufanya miamala kwa wingi kupitia Mixx by Yas maana bado Wiki Tisa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!