SHAIRI LA SALAMU ZA MWAKA MPYA 2025 KUTOKA KWA MWANDISHI SHOMARI BINDA
Nianze na shukrani,kwa Mola wetu KarimaKututia uzimani,kwa pumzi yake kuhemaMwaka umetamatani,nasi bado tuwazimaSalamu za mwaka mpya,nawasalimu wapendwa
Nasalimu visiwani,bara siwaachi nyumaNawasalimu wandani,marijali wakuhemaBinda ninazisaini,zifike kwenu...
MWANANYANZALA ATUMA SALAMU ZA MWAKA MPYA NA PONGEZI KWA RAIS SAMIA
Mdau maarufu wa michezo na mwanachama wa klabu ya Yanga ameendelea kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya michezo, hususan...
RAIS SAMIA KINARA WA UHAMASISHAJI MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewataka watanzania wote kuhakikisha wanatumia nishati safi ya kupikia kama njia mahususi ya...