Friday, January 24, 2025
Home 2024 December 5

Daily Archives: December 5, 2024

GARI HII HAPA INAKUSUBIRI , MAGIFTI YA KUGIFTI AWAMU YA PILI SOMA HAPA NA...

0
 Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam, 5 Desemba 2024 – Kampuni inayoongoza ya mtindo wa maisha kidijitali nchini Tanzania, Yas, na Mixx by Yas, inayo...

CCM GEITA YATOA ONYO KWA VIONGOZI WANAOKIUKA WAJIBU

0
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita, Gabriel Nyasilu, amesema chama hakitamuonea haya kiongozi yeyote aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti...

DKT. JAFO ATEMBELEA BANDA LA REA KWENYE MKUTANO WA KIKANDA WA NISHATI 2024

0
📌Aipongeza REA kwa kufikisha umeme vijijini 📌Asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia 📌Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt....

WATU MILIONI 600 AFRIKA HAWAJAFIKIWA NA UMEME; TUTUMIE RASILIMALI ZILIZOPO KUBADILISHA MAISHA – DKT....

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Bara la Afrika lina zaidi ya watu milioni 600 ambao bado hawajafikiwa...

MKIFUATA USHINDANI KATIKA SOKO MTAZALISHA BIDHAA BORA- JAFFO

0
Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania Dkt. Selemani Jafo amewataka wawezekaji wazawa na wafanyabiashara kuhakikisha wanatumia fursa ya masoko mbalimbali ya ndani na...

RC BATILDA AONGOZA WANANCHI KUPIGA KURA UCHANGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

0
Na Boniface Gideon Mkuu wa Mkoa wa Tanga Batilda Burihani , tarehe 27 ameongoza wananchi katika zoezi la kupiga kura la uchaguzi wa Serikali za...

WANAJIOSAYANSI NGUZO MUHIMU KUFANIKISHA VISION 2030

0
Na Denis Chambi Mzawa Media Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Ndugu Msafiri Mbibo amesema kuwa wanajiosayansi ni nguzo muhimu katika kufanikisha dhana ya Vision...

DKT. BITEKO ATEMBELEA BANDA LA REA KATIKA MKUTANO WA NISHATI 2024 JIJINI ARUSHA

0
📌Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea nchini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametembelea banda la Wakala wa Nishati...

REA YAUPAMBA MKUTANO WA KIKANDA WA NISHATI BORA 2024

0
📌Matumizi bora ya nishati ya kupikia kupewa kipaumbele 📌Elimu ya utunzaji wa miundombinu ya umeme yatolewa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki katika Mkutano wa Kikanda...

MKUTANO WA KIKANDA WA MATUMIZI BORA YA NISHATI WAANZA KWA MAFANIKIO ARUSHA

0
📌Magari yanayotumia umeme yawa kivutio 📌Wadau waonesha vifaa vinavyotumia umeme kidogo kwa gharama ndogo* 📌Dkt. Mataragio asema Matumizi Bora ya Nishati yanalenga kupunguza uzalishaji hewa ya...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma December 5, 2024 - Mzawa Online,
Karibu Tukuhudumie..