MBUNGE MATHAYO ATAJA ZAIDI YA BILIONI 1 ZA RAIS DKT.SAMIA ZILIVYOTUA MUSOMA KWA WAVUVI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo amesema Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ameshawafikia wananchi wa Musoma na kuwawezesha kiuchumi.
Kauli hiyo ameitoa...
ASKOFU MKUU RUWA’ICHI AAHIDI USHIRIKIANO NA TRA
Askofu Mkuu Mwandamizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa'ichi amesema Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam...
WAZIRI SIMBACHAWENE ATOA WITO KWA WATANZANIA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Na Hamida Ramadhan Mpwapwa
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, George...
WANANCHI NANYALA KUTUMIA SHILINGI MILIONI 56.4 ZA FIDIA YA ARDHI KUJENGA MADARASA.
Na Moses Ng'wat, Mbozi.
WANANCHI wa kijiji cha Nanyala, Kata ya Nanyala, wilayani Mbozi, wamekubaliana kwa pamoja kutumia fedha kiasi cha shilingi milioni 56.4zilizolipwa kama...
JAMII YA WANA MUSOMA KUKUTANA FEBRUARI MOSI 2025 KUJADILI MAENDELEO
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI jamii wanaotoka Musoma na kuishi maeneo mbalimbali nchini wanatarajiwa kukutana februari mosi mjini Musoma kujadili maendeleo.
Katibu wa wana jamii hao ambao...
CHATANDA APOKEA SALAMU ZA PONGEZI ZA RAIS SAMIA KWA KAZI KUBWA YA UJENZI WA...
📍29 DISEMBA, 2024 - KILOLO, IRINGA
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) amepokea salamu za pongezi kutoka kwa wananchi wa Kilolo mkoani...
CHATANDA AKEMEA TABIA ZINAZOKWAMISHA WATOTO KUSHINDWA KUENDELEA NA MASOMO
📍28 DISEMBA, 2024 - IRINGA
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) amewataka wazazi kuacha mara moja tabia ya kuozesha watoto wakiwa na...
AIR FRANCE KLM WAHAMASISHA KWA VITENDO KUHUSU UMUHIMU WA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NCHINI
Rajat Kumar, Meneja wa Air France-KLM nchini Tanzania, akimsaidia mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro nchini Tanzania...