RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA VIONGOZI WA SERIKALI NA KUFANYA UTEUZI MPYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
WAZALISHAJI WA BIDHAA NCHINI WAJIVUNIA TBS KUPOKEA CHETI CHA UMAHIRI KATIKA UTHIBITISHAJI WA UBORA...
Na Mwandishi Wetu.
SERIKALI imedhamiria kujenga misingi shindani na endelevu yenye ubora wa utoaji wa huduma wenye kuwezesha biashara nchini kwa kuzingatia jiografia na rasilimali...
BENDERA YA KAMPUNI YA YAS ( ZAMANI TIGO ) YAFIKISHWA KWENYE KILELE CHA MLIMA...
Na Mwandishi Wetu
Mazingira mazuri ya uwekezaji nchini Tanzania yameiwezesha Yas Tanzania kujidhihirisha kama mwekezaji kinara katika sekta ya mawasiliano nchini, alisema Mkurugenzi wa Kanda...
CHATO, GEITA: MAOMBI YATOLEWA KWA SERIKALI KUONGEZA MAJIKO YA GESI YA RUZUKU
Wilaya ya Chato, mkoani Geita, imeiomba serikali kupitia mamlaka husika kuongeza idadi ya majiko ya gesi ya ruzuku kutokana na ongezeko kubwa la wananchi...