WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI WAITWA KUSHIRIKI KIKAO KAZI
Na Hamida Ramadhan matukio Daima app Dodoma
KAIMU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Xavier Daudi amewataka Wakuu...
BASHUNGWA AAGIZA MALALAMIKO YA WANANCHI KUFANYIWA KAZI NA MFUMO WA UTOAJI TAARIFA KUBORESHWA.
Na Mwandishi Wetu,DODOMA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa (Mb) ameiagiza Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kusimamia Kitengo kinachoshughulikia Malalamiko...
“TAMASHA KUBWA LA SAME UTALII FESTIVAL SEASEON 2 KUFANYIKA DESEMA 20 HADI 22 SAME...
Na Ashrack Miraji Mzawa Online
TAMASHA Kubwa la Same Utalii Festival Season 2 linatarajiwa kufanyika Desemba 20 hadi 22 mwaka huu katika wilaya ya...
TCCIA NA CHEMBA YA KIMATAIFA YA DUBAI YASAINI HATI YA MAKUBALIANO BIASHARA NA UWEKEZAJI
Na Magrethy Katengu-
Dar es salaam
Chemba ya biashara kimtaifa ya Dubai imesaini hati ya makubaliano ( MoU ) na Chemba ya biashara ,Viwanda, Kilimo Tanzania...
WATU WENYE UALBINO BADO WANAPITIA MADHARA MBALIMBALI.
NA HAMIDA RAMADHAN DODOMA
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Foundation For Disabilities Hope (FDH) Maiko Salali amesema watu wenye ualibino bado wanapitia madhira mbalimbali ikiwemo...