REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 19,530 MKOANI SINGIDA
๐Wananchi 3,255 kila wilaya ya mkoa huo kunufaika
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA); kuanzia tarehe 20 Januari,...
MWEMBE LOGISTICS YAENDELEA KUWEKEZA KWENYE UTALII, WAZIRI PINDI AWAPONGEZA
Na Dickson Mzava
Kampuni ya Mwembe Logistics, inayotoa huduma za usafirishaji wa mizigo na uwakala wa forodha, imeendelea kujizatiti na kuonyesha ubunifu mkubwa katika huduma...
DKT. KAZUNGU ATEMBELEA MIRADI YA UMEME DAR ES SALAAM
๐ Ni ya Uzalishaji na Usafirishaji umeme
๐ Lengo ni kuhakikisha uwepo wa umeme wa uhakika
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu...
MHE. CHANA AFUNGUA SAME UTALII FESTIVAL, ATOA MAAGIZO MAZITO YA SEKTA
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe, Balozi.Dkt. Pindi Chana ( Mb) amezitaka Halmashauri za wilaya zote nchini kuanzisha matamasha ya Utalii na...