Monday, November 23, 2026
Tangazo-NHC
Home 2023 April

Monthly Archives: April 2023

BENKI YA DUNIA YAISIFU TANZANIA KUSIMAMIA UCHUMI KWA UMAHILI

0
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C, Marekani BENKI ya Dunia imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayopata...

DKT.MPANGO SERIKALI ITAWACHUKULIA HATUA WALE WOTE WATAKAOBAINIKA WAMEFANYA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA UMMA

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema serikali itawachukulia hatua wale wote watakaobainika wamefanya ubadhirifu wa fedha...

Ongezeko Bajeti ya Utafiti Yaiwezesha TARI- Dakawa Kuongeza Uzalishaji Mbegu za Mpunga

0
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Kutokana na kuongezeka kwa bajeti ya kilimo katika eneo la utafiti kutoka Shilingi bilioni 11.5 hadi Shilingi bilioni 40.7 kwa...
WIZARA, AFYA, MWEKEZAJI

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA MWEKEZAJI KUJENGA KIWANDA CHA MIFUKO YA KUHIFADHIA DAMU NCHINI

0
Na Magrethy Katengu Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu amewaomba Wawekezaji kujitokeza kujenga Viwanda vya kuzalisha Mifuko ya kuhifadhi damu Ili kusaidia kupunguza gharama ya...
DIT MWANZA, UJENZI, KITUO

DIT MWANZA WAPONGEZWA KWA UJENZI WA KITUO CHA UMAHIRI WA BIDHAA ZA NGOZI

0
 SERIKALI imepongeza maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Umahiri wa Bidhaa za Ngozi na Teknolojia zinazoshabihiana (CELPAT) katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam...

SERIKALI KUANZISHA KANZI DATA YA MAKUNDI ADIMU YA DAMU

0
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Serikali inadhamiria kuanzisha Kanzi Data ya kutambua makundi ya Damu kwa Watanzania wote, ili kusaidia kukabiliana na Changamoto...
WAZIRI NAPE, JIMBONI

WAZIRI NAPE AFTURISHA JIMBONI

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mhe. Nape Nnauye amefuturisha wananchi wa Jimbo la Mtama ikiwa...
CHALAMILA, TIMU, WATALAAM

RC CHALAMILA AIPONGEZA TIMU YA WATALAAM WA AFYA  KWA KUJIDHATITI  KUELIMISHA JAMII KATIKA KUKABILIANA...

0
Na. Elimu ya Afya kwa Umma Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Albert Chalamila ameipongeza Timu ya Watalaam wa Afya kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,...
DKT MPANGO, SHAMBA, UZALISHAJI

DKT MPANGO KUTEMBELEA SHAMBA LA UZALISHAJI WA NG’OMBE BORA WA MAZIWA NA NYAMA MABUKI...

0
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Khigoma Malima amesema, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe:Philip Mpango anatarajiwa kuwasili katika Kijiji...
RAIS, DKT, MWINYI

RAIS DKT. MWINYI: TUONGEZEE BIDII YA KUSOMA QUR’AAN, TUWASAIDIE WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ambaye amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA