WAZIRI MKUU: SERIKALI KUWEKA MFUMO MPYA MIKOPO YA ASILIMIA 10
*Ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Dkt. Samia
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza Halmashauri zote nchini kusitisha utoaji wa fedha za mikopo kwa makundi maalum...
SERIKALI IMEANZA KUFANYIA KAZI TAARIFA YA CAG -WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali tayari imeanza kuifanyia kazi taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya mwaka baada ya...
MASANJA: UPANDAJI MAZAO HIFADHINI NI UKIUKWAJI WA SHERIA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Mary Masanja ( Mb) ametoa angalizo kwamba kupanda mazao katika maeneo ya Hifadhi ni ukiukwaji wa sheria huku...
CHUO CHA UTALII(NCT) CHAJA NA MAFUNZO YA MUDA MFUPI URATIBU WA MATUKIO
Na Magrethy Katengu.
Katika kuhakikisha kunakuwepo na ufanisi wa uratibu na usimamizi wa matukio, Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) kimesema kutakuwa na ushirikiano na...
DKT. NCHEMBA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA BENKI YA DUNIA JIJINI WASHINGTON
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Dunia,...
WATU 400 KUFANYIWA UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO MBARALI
Na. WAF-Mbarali
Zaidi ya watu 400 wenye matatizo ya macho kupatiwa matibabu ikiwemo ya upasuaji wa mtoto wa jicho katika kambi ya siku 10 itakayaofanyika...
Taasisi za Umma, Binafsi zatakiwa kusitisha matumizi ya kuni na mkaa ifikapo Januari 31,...
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imezitaka Taasisi zote za Umma na Binafsi Tanzania Bara zinazoandaa chakula na kulisha watu zaidi ya 100...
MAJINA YA KIGENI KUENDELEA KUTUMIKA KWA BAADHI YA RASILIMALI ZA TAIFA KULINDA HISTORIA NA...
Serikali imesema inaendelea kuyatumia majina yaliyotolewa katika kipindi cha utawala wa kikoloni kulinda uhifadhi wa historia na rasilimali zilizopo nchini kwa manufaa ya Taifa...
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MAJAJI MWANZA APRIL 12
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Mhimili wa Mahakama kushiriki kikamilifu katika kazi ya...
WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAANZA KUWANOA WAJUMBE WA TIMU KUU ZA MAANDALIZI YA...
Na. Joseph Mahumi, WFM, Dar es Salaam
Serikali imeanza kutoa mafunzo kwa wajumbe wa Timu Kuu za Uandishi na Uhariri wa Dira ya Taifa ya...















