Saturday, June 27, 2026
Home 2023 February

Monthly Archives: February 2023

TUME YA TEHAMA TANZANIA NA UNESCO ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO

0
Tume ya Tehema Tanzania (ICTC) leo tarehe 13 Februari 2023 Imesaini mkataba wa ushirikiano na UNESCO kwa ajili ya utafiti wa matumizi ya interneti. Awali...

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA WILAYA YA SONGWE

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 13, 2023 ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu katika Mkoa wa Songwe ambapo akiwa katika kijiji cha...

TANZANIA NA INDONESIA KUSHIRIKIANA SEKTA YA UMEME, MAFUTA NA GESI.

0
WAZIRI  wa Nishati January Makamba amefanya ziara ya kikazi nchini Indonesia, lengo likiwa ni kuimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili katika sekta ya umeme,...

ENGEN  NA VIVO ENERGY  WAUNGANA KUKUZA BIASHARA YA NISHATI NA VILAINISHI AFRIKA 

0
KAMPUNI maarufu za usambazaji wa nishati na vilainishi, Engen na Vivo Energy zimetangaza kuungana kwa pamoja ilia  kutengeneza ushirika mkubwa wa usambazaji wa bidhaa...

MSHUA TIGO PESA ATOA ZAWADI NA MAMILIONI YA PESA KWA MAWAKALA WAKE

0
 Na Mwandishi Wetu Kampuni namba moja nchini kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo Tanzania kupitia Huduma yake ya mfumo wa pesa Kidigitali Tigo Pesa...

TIGO PESA WAKABIDHI RASMI NDINGA LA KISHUA KWA SAMSON , NYUMBANI KWAO KAHAMA

0
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Bwn. Joseph Mutalemwa ( Kulia )  akimkabidhi rasmi Gari aina ya TOYOTA RUSH Mshindi wa Promosheni ya NDINGA...

WANAFUNZI WAJENGEWA UWEZO MADHARA YA UNYWAJI POMBE NA KUEPUKA MAKUNDI HATARISHI

0
Na Boniface Gideon, TANGA Wanafunzi zaidi ya 27000 kutoka Mikoa ya Tanga na Dar eS salaam wamepata fursa ya kupata Mafunzo maalumu juu ya Madhara...

USHUSHWAJI WA MELI YA MV MWANZA MAJINI UTASAIDIA KUKUZA SEKTA YA UTALII

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema zoezi la ushushwaji wa Meli ya MV Mwanza “HAPA KAZI TU” kwenye maji,...

WAZIRI CHANA: SERIKALI IMEWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAWEKEZAJI SEKTA YA UTALII

0
Waziri  wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt.Pindi Chana amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wenye nia...

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA AFYA INAHITAJI UMOJA NA MSHIKAMANO ILI TIJA IONEKANE

0
Na.Faustine Gimu, Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya. Rai imetolewa kwa wadau sekta ya Afya kuungana pamoja pindi wanapotekeleza miradi ya Afya ngazi...