KAMPUNI YA VIJANA REAL ESTATE YAJA NA SULUHISHO LA YEYOTE KUMLIKI ARDHI KWA GHARAMA...
Na Magrethy Katengu
KAMPUNI ya Vijana Real Estate inayojihusisha na uuzaji wa viwanja imekuja na suluhisho la uuzaji viwanja vilivyopimwa kabisa kwa gharama nafuu katika...
ULEGA AFURAHISHWA KASI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA TANGA YETU
Na Boniface Gideon, TANGA
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega Leo ameonesha Kufurahishwa na Miradi ya Sekta ya Kilimo Cha Mwani, Ufugaji wa...
MEJA JENERALI MBUGE: TUTAENDELEA KUJIPANGA KATIKA KUKABILANA NA MAAFA NCHINI
NA. MWANDISHI WETUSerikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu itaendelea kuweka mikakati madhubuti katika masuala ya menejimenti ya maafa nchini ili kuhakikisha inapunguza madhara yatokanayo...
DIWANI WA KATA YA PASIANSI ASHIRIKI UJENZI WA ZAHANATI
Diwani wa kata ya Pasiansi wilaya ya Ilemela Rosemary Mayunga ameshiriki zoezi la kuchimba msingi kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati inayotarajiwa kujengwa katika...
MWANGA HAKIKA BENKI YAZINDUA KAMPENI YA MSELELEKO KWA WAFANYABIASHARA
MWANGA Hakika Benki wazindua rasmi Kampeni ya "Mseleleko" kwa Wafanyabiashara na wajasiriamali mbalimbali nchini wameombwa kujitokeza kwa wingi kuweka akiba katika benki ya Mwanga...
TEMEKE YAONGOZA KUREJESHA MIKOPO YA HALMASHAURI KWA 60% KWA DAR ES SALAAM
Na Magrethy Katengu
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Mwanahamisi Mkunda amewaomba wale wote wanaoomba mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10 iliyotengwa na serikali kuwanufaisha...
WIZARA YAWASIKILIZA WAWEKEZAJI WAKUBWA NA WAKATI WA MADINI
Wajadili Kanuni za Madini kuhusu Ushiriki wa Serikali za Mwaka 2022
Dar Es Salaam
Wizara ya Madini imekutana na Wawekezaji Wakubwa na wa Kati wanaofanya shughuli...
WATENDAJI WA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WATAKIWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amewataka watendaji wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuelimisha wananchi...
NABII PHILIBERT: WATANZANIA TUMWOMBEE RAIS SAMIA, MUNGU AMJALIE HEKIMA NA BUSARA
Na Magrethy Katengu
Wtanzania wameshauriwa kuwa na Imani na Rais Dkt Samia Suluhu Hassani kwani ana maoni makubwa na Nchi hii hivyo waendelee Kumwombea Mungu...













